Anytime bora tunajua ni hit u never disappoint we know this is ur beginning to dig even deeper in Nigeria, still waiting more bangers from Nigeria
2 years ago | 15
@willypaul umetuweka sana hatuwezikua tunangoja Yesu na pia tunangoja song yako saa zingine just surprise us juu we can be waiting for pilau only to be served with githeri😂😂😂😂anyway nakuaminia poze toa song
2 years ago | 9
Cant believe kama huyu ni ile ule willy paul walikuwa wanaimba SITOLIA na Gloria muliro ,God changes life really❤️❤️
2 years ago | 0
Wewe huwa unaona bahati akifanya izi sarakasi zako kama ni ngoma toa nkt unachosha kweli weww
2 years ago | 5
Kama nikuweka siuweke ni Nini mbaya na vitisho we want something to happen stop making us like kids drop it tommorow nabure tumechoka kuingoja 😅😅
2 years ago | 4
Nobody talking of willy Paul's hardworking😘guys nifikisheni 1k subscriber
2 years ago | 18
Unachelewesha kurelease alafu ikose kuwa hit song....wee toa ngoma ....kitu kama ni Kali ni kali
2 years ago | 1
Kama ni kweli unaampenda willy paul na kazi yake kweli nipeeni likes zake hapa na heshima zake pozze .nami nifikisheni 1k subs tafadhali
2 years ago | 8
Willy Paul Thee Pozze
@officialguchi and myself met and created something magical.. I told you its ready but she just wants to know whether it should drop now, tomorrow or the day after tomorrow.... #YOU
2 years ago | [YT] | 4,849