Mwana hata kuimba unajua mpaka wapuuz wanaulza who's funking this Dude ๐คฃ
2 years ago | 1
Brother #LOUI# Mimi nishabiki yako kutoka Kahama kiukweli ngoma zako bro kali sana tena level zambele(abroad country)lakin kinachoniuma haziendi hewani vile inavotakiwa mfano,Hennessey ilienda vizuri kabisa sasa kuna ngoma bro kama Rihanna,lotto, ginger nazingine naona watanzania hatuzitendei haki hizi ngoma nizakuheshimisha nchi.Sasa ushauri wangu kwako #loui# jaribu kuzifanyia promo hizi ngoma sometimes watanzania mpaka force ndo waelewe.Asante kwamziki mzuri๐
2 years ago | 0
LOUI V
New EP OUT now ๐ www.youtube.com/playlist?list...
2 years ago | [YT] | 106