From Cinderella bado on top......vizazi kibao vya muziki vimekuja na aina tofauti tofauti za muziki lakini jamaa yupo duuuuuh..... kings music for life
2 years ago | 7
Mfalme ni Mmoja huu mwaka wako na nakuombea munguuuu sana yeeeep yebaaaaaa
2 years ago | 2
Tuko rada King kiba leto video tuishi nayo wenyewe bwana wakaa na chakula chetu tu mpaka kiozee ndio utupee daaaah we kiba jiongeze mkali
2 years ago | 16
Napenda name niwe kama wee kaka kiba ni follow name YouTube na Ngoma Zangu Naitwa jay clever
1 month ago | 1
una stahili sifa zote za mziki kk kiba mi nko Congo baba π¨π© π¨π© π¨
2 years ago | 2
King Kiba, kuna Watu Fudenge Walisema Watadumu kwenye Trending hadi Mwaka Gani Sijuiπ Natoka kuview Sasa Hivi Tupo namba 1, Bado Hawajasem
2 years ago | 6
Alikiba
Endelea Kuangalia Lyric Video 'Huku"Click here:https://www.youtube.com/watch?v=PRbSJ...
2 years ago | [YT] | 3,838