Mbosso

Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz “ Bahari Beach” Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki Mbalimbali , Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako…

ila je, we Unazani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?

2 years ago | [YT] | 7,129