Itigi TV ni channel ya documentary na interview inayolenga kuonesha historia ya Itigi ya zamani, maendeleo ya Itigi ya sasa, na maisha halisi ya watu wa Singida, Tanzania.
Tunakuletea simulizi za kweli kuhusu maisha ya vijana, safari za mafanikio ya wajasiriamali, biashara ndogo na za kati, kilimo, bustani, na ufugaji.
Kupitia documentary za Kiswahili na mahojiano ya kina, Itigi TV inaangazia changamoto, juhudi na mafanikio ya jamii ya Itigi na Singida kwa ujumla.
Kama unapenda hadithi za kweli za Tanzania, maendeleo ya vijijini, maisha ya wakulima na wafugaji, pamoja na safari za vijana wanaopambana kujenga kesho yao – karibu Itigi TV.
Subscribe sasa uwe sehemu ya sauti ya Itigi na vijana wa Singida.
PIGA - +255 612 722 481
WHATSAPP - +255 699 142 788
FACEBOOK - ITIGITV
INSTAGRAM - ITIGITV
TIKTOK - ITIGITV
FURAHA YETU TUFIKE PAMOJA
ITIGI TV Tz
Taarifa kwa umma #habari #bbcswahili #dwswahili #millardayo
8 months ago (edited) | [YT] | 6
View 2 replies