We Let You Know
What and How it take to become A Good Graphics Designer, Film Maker
Am Joel Kadaga, Content creator
Welcome to Our Channel, We upload Videos about Graphics Design, Film Making and Marketing
Who is this Guy?
Joel Kadaga is a versatile and knowledgeable Professional excelling in Creative design, Video content creation, and Brand training. Serving as both a content creator and a YouTube educator. He offers valuable insights and educational training in Graphics, Filmmaking, and Content creation online.
Joel Media
Unataka kujua jinsi ya kutengeneza burger poster yenye mvuto wa kibiashara kama zile za maduka makubwa ya fast food?
Leo Joel Media anakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kubuni Burger Poster ya kitaalamu ndani ya Adobe Photoshop, kuanzia layout, typography hadi lighting na color grading.
https://youtu.be/8lC-v8XLVo0?si=6GKsH...
4 weeks ago | [YT] | 5
View 0 replies
Joel Media
At Joel Media we do not just Design a A piece of Icon/ Logo we make your brand Identified out there
Dm us Today to make a Good Brand Identity for your business or Brand
We Located at Ubungo External Dsm
+255 745 152 680
+255 627 150 780
2 months ago | [YT] | 7
View 2 replies
Joel Media
5 months ago | [YT] | 20
View 0 replies
Joel Media
BRANDING UNIVERSITY PRESENTS! π₯
THEME: Business of Design
π‘ Jiandae kujifunza kuhusu jinsi ya kugeuza design skills zako
kuwa biashara inayolipa!
ποΈ Tarehe: Jumamosi, April 19, 2025
π Muda: Saa 3:00 Usiku (EAT)
π Platform: Google Meet
πΈ Gharama: Hakuna! FREE ACCESS!
π SAVE THE DATE & be ready for an inspiring and
game-changing session!
BOFYA HII LINK KUJIUNGA π:
meet.google.com/tqz-jopu-ffn
8 months ago | [YT] | 21
View 0 replies
Joel Media
Huenda unadhani kuwa βbrandβ ni jina la kampuni kubwa tu.
Lakini ukweli ni huu β wewe pia ni brand.
Brand ni vile watu wanavyokuona.
Ni jina lako, kazi zako, na jinsi unavyojitambulisha mitandaoni.
Kama umejifunza Digital Skills kama:
π¨ Graphics Design
π² Digital Marketing
π¬ Video Editing
π Website Design
Basi tayari una zana za kujijenga na kujiuza mtandaoni.
Unaweza kuonyesha kazi zako kupitia Instagram, Facebook, LinkedIn.
Unaweza kutengeneza page nzuri inayovutia watu kutaka kukuajiri.
Hakuna kampuni itakujua kama hutajiweka vizuri mitandaoni.
Unaweza kuwa na skills kali, lakini kama hujawa brand β utabaki kimya.
Jifunze kupost kazi zako mara kwa mara.
Jifunze kuandika caption inayoeleza unachofanya.
Tengeneza portfolio ya kazi zako hata kama ni za mazoezi.
Weka kwenye social media kama duka lako la kwanza la mtandaoni.
Watu wanaajiri wale wanaoonekana, sio wale waliopo kimya.
Ukijitangaza vizuri, wateja wataanza kukuona.
Kila post ni fursa ya kuonesha uwezo wako.
Kila comment ni nafasi ya kupata mteja mpya.
Hivyo usikae tu β jenga brand yako hatua kwa hatua.
Mtandao ni sehemu ya kujenga jina lako bila hata kuwa na ofisi.
Kama post hii imekupa kitu kipya au kukufungua macho, tafadhali andika comment:
"IMENISAIDIA"
Ningependa kuona vijana wengi wanabadilisha maisha yao kwa kutumia skills walizo nazo tayari!
#DigitalSkills #BrandBuilding #Kujitegemea #GraphicsDesign #VideoEditing #WebsiteDesign #Tanzania
8 months ago | [YT] | 41
View 10 replies
Joel Media
Tumepost Video Mpya ya Mwongozo wa kuchagua Program za Graphics Designhttps://youtu.be/HoZk6M4hVPk?si=3B5rR...
9 months ago | [YT] | 4
View 0 replies
Joel Media
Ushuhda wa Mwaikambo amejifunza na Kuanza Kudesign kazi Nzuri ndani ya Mwezi mmoja
Nimezungmza naye amewezaje kutumia muda mfupi kiasi hiki kuanza kumaster ujuzi huu
Bonyeza Link hii kutazama video nzima: https://youtu.be/EkSB-XMd-Qo?si=-MGLG...
1 year ago | [YT] | 15
View 0 replies
Joel Media
*YOUTUBE MONETIZATION 2024*
Youtube Monetization Patnership
Sio njia pekee ya kukuingizia fedha kama content Creator..
Ooh... Kama hujanielewa.. Ni fuatilia kidogo hapa chini,..
JOEL MEDIA tumefikisha Subscribers Elfu 10 youtube, sio kazi ndogo..tukiwa na zaidi ya miaka 5 kwenye kutengeneza Content...
Tunaelewa njia zipi zitakufikisha kule unapotaka kufika kwa haraka zaidi.
Leo tumekuletea somo vitu gani ufanye uweze kufanikiwa Ili uingize Kipato kupitia Youtube...
Ungana nasi Live.. Youtube.. Saa 10:00 jioni.. Jumapili hii,youtube.com/live/jTASRubnVKY?feature=share
1 year ago | [YT] | 29
View 0 replies
Joel Media
Tumekuwa na wakati mzuri sana wa mafunzo ya ana kwa ana hapa ofisini kwetu kwa muda wa wiki mbili.
Imekuwa ni wiki mbili za mafanikio sana kwetu kama Joel Media, kwa kuona watu wanapata matokeo ya matarajio yao.
Hakina tumewapa zaidi ya kile walichotarajia, wasio kuwa na ujuzi, ufahamu wowote wa kudesign wala kurun matangazo wameondoka na uwezo mkubwa wa kutengeneza na kudesign matangazo.
Furaha yetu ni kumfundisha mtu akaelewa, furaha yetu ni kuhakikisha unakuwa graphics designer.
Furaha yetu ni kuhakikisha unapata uhakika wa kuishi au kupata kazi, au kuongeza mauzo kupitia hiki tunachokufundisha.
Hatujaishia hapo, washiriki wote ambao mmehudhuria Design BootCamp season 1, mmekuwa familia yetu, ya Joel media..
Pia, tutaendelea kuwa mentor/kuwasimamia kwa miezi sita tena..
Karibu Joel Media, ujifunze graphics design.. Mlete mwanao pia. Unaeweza kutembelea ofisini kwetu.. UBUNGO EXTERNAL.. Au piga simu...
#contentisKing
#keepcreating
1 year ago | [YT] | 14
View 0 replies
Joel Media
Iliku Safari ndefu sana Kufika hapa
Hatimaye wafuasi Subscribers 10,000 sio kazi ndogo
Ntafanya Live wiki hii Youtube kukuonyesha safari yangu ya Miaka Mitano ya Kutenge
neza Content za Youtube
Kama unaswali lolote niandikie katika sehemu ya comment ntajibu kwenye Live ya wiki hii
1 year ago | [YT] | 43
View 8 replies
Load more