Leo ni maadhimisho ya miaka kumi ya Bright Star pre & primary school pia sherehe izo itakuwa ni pamoja na mahafali ya wanafunzi waliofanikiwa kumaliza katika daraja lao la elimu.
Sherehe hizo zinafanyika katika ukumbi wa Midtown Makambako wote mnakaribishwa kushuhudia maendeleo bora ya watoto wetu katika elimu na maadili.
Bright Star Where the future begins.
Unaweza kuuliza chochote unachotamani kujua kuhusu @brightstar mawasiliano ya shule ni 0766617497.
Matukio ya picha za msafara wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi walivyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenda kuchukua fomu ya kugombea urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliambatana na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuchukua fomu hiyo mapema leo katika ofisi za INEC zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.
Kwakutambua ukubwa wa tukio na ukubwa wa msanii @b2kmnyamaa25 leo mei 31, Leo tupo hapa kwajili ya kukupa taarifa zote na matukio yanayoendelea katika uzinduzi wa album ya โMy Musicโ hapa Midtown Makambako.
Follow @eddytz_online pia youtube kupata updates zote.
LISSU ADAIWA KUGOMA KESI YAKE KUSIKILIZWA KWA NJIA YA MTANDAO
Shauri la jinai linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu linadaiwa litafanyika kwa njia ya Mtandao leo Aprill 24, 2025
Hata hivyo taarifa zisizo rasmi zinadai Lissu amegoma kushiriki katika Kesi hiyo kwa njia ya Mtandao akitaka afikishwe Mahakamani. Juhudi za kupata taarifa rasmi za Mamlaka zinaendelea
Kwa mujibu wa Wakili ambaye ni sehemu ya jopo la Mawakili wanaomtetea Lissu, amesema kwamba tayari wameingia Mahakama (Virtual court) kwa ajili ya kuanza kusikiliza kesi zinazomkabili mteja wao.
Eddytz Online
HARUSI HII INASHANGAZA ZAIDI YA MILLION 50 ZAWADI
1 week ago | [YT] | 0
View 0 replies
Eddytz Online
Leo ni maadhimisho ya miaka kumi ya Bright Star pre & primary school pia sherehe izo itakuwa ni pamoja na mahafali ya wanafunzi waliofanikiwa kumaliza katika daraja lao la elimu.
Sherehe hizo zinafanyika katika ukumbi wa Midtown Makambako wote mnakaribishwa kushuhudia maendeleo bora ya watoto wetu katika elimu na maadili.
Bright Star Where the future begins.
Unaweza kuuliza chochote unachotamani kujua kuhusu @brightstar mawasiliano ya shule ni 0766617497.
#eddytzonline #eddytzupdate
1 year ago | [YT] | 2
View 0 replies
Eddytz Online
Happy Birthday Eddytz Online๐๐น๐ฟ
1 year ago | [YT] | 15
View 0 replies
Eddytz Online
Matukio ya picha za msafara wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi walivyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenda kuchukua fomu ya kugombea urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliambatana na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuchukua fomu hiyo mapema leo katika ofisi za INEC zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.
๐ธ @director_deiv
#eddytzonlineupdates #eddytzonline
1 year ago | [YT] | 4
View 0 replies
Eddytz Online
Uongozi wa @eddytz_online unawatakia waislam na watanzania wote Kheri ya Sikukuu ya Eid Al Adha.
Cc. @eddytz_phone @eddshotit
1 year ago | [YT] | 5
View 2 replies
Eddytz Online
Dayoo kasema hawezii kuoa bado ni mdogo hata miska 25 hajafika ๐๐
https://youtu.be/S-W-PzGEhrw?si=kY7eK...
1 year ago (edited) | [YT] | 17
View 0 replies
Eddytz Online
Kwakutambua ukubwa wa tukio na ukubwa wa msanii @b2kmnyamaa25 leo mei 31, Leo tupo hapa kwajili ya kukupa taarifa zote na matukio yanayoendelea katika uzinduzi wa album ya โMy Musicโ hapa Midtown Makambako.
Follow @eddytz_online pia youtube kupata updates zote.
1 year ago | [YT] | 8
View 1 reply
Eddytz Online
Wewe kama shabiki wa muziki mzuri kutoka kwa Chingaa @ibraah_tz unamchangia kiasi cha shilingi ngapi?
Kama ni ushauri unaweza kumpa ujumbe gani katika kipindi hiki?
1 year ago | [YT] | 7
View 0 replies
Eddytz Online
Unataka kupata Mabii ?๐ฅ
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Eddytz Online
LISSU ADAIWA KUGOMA KESI YAKE KUSIKILIZWA KWA NJIA YA MTANDAO
Shauri la jinai linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu linadaiwa litafanyika kwa njia ya Mtandao leo Aprill 24, 2025
Hata hivyo taarifa zisizo rasmi zinadai Lissu amegoma
kushiriki katika Kesi hiyo kwa njia ya Mtandao akitaka afikishwe Mahakamani. Juhudi za kupata taarifa rasmi za Mamlaka zinaendelea
Kwa mujibu wa Wakili ambaye ni sehemu ya jopo la Mawakili wanaomtetea Lissu, amesema
kwamba tayari wameingia Mahakama (Virtual court) kwa ajili ya kuanza kusikiliza kesi zinazomkabili mteja wao.
1 year ago | [YT] | 18
View 0 replies
Load more