Official channel of the Seventh-day Adventist Church - East Kenya Union Conference (Nairobi, Kenya). Join us as we proclaim the Gospel, build strong faith communities, and share Christโs message of hope and healing across the region. Connect with our latest sermons, events, and ministries.
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
KILELE CHA MAKAMBI 2026 - JERICHO SDA ๐
Makambi ya mwaka huu katika kanisa la Waadventista mtaa wa Jericho yamefikia tamati kwa kishindo! Viongozi walikiri kuwa na wakati mzuri wa uhuisho wa kipekee, mafunzo ya kina, na mahudhurio ya kufana sana yaliyojaza kanisa pomoni. Wazungumzaji walioalikwa tokea sehemu mbalimbali nchini wakiongozwa na mnenaji mkuu, Mchungaji David Mmbaga tokea Tanzania ambaye pia ni kiongozi katika ofisi kuu ya eneo la East-Central Africa Division (ECD).
Katika hitimisho hili la kihistoria hii leo, tulipata heshima ya kujumuika na wageni mbalimbali akiwemo mwanasiasa na kiongozi Milicent Omanga, ambaye aliitisha na kupokea maombi maalum kutoka kwa Mchungaji David Mmbaga.
Ibada hii ilijaa baraka tele ambapo watoto waliwekelewa mikono na kuombewa. Vilevile, mbingu zilishangilia pale ambapo watu ishirini na sita (26), wakiungana na wengine tisa (9) kutoka kanisa la mtaa wa Kiambiu, walibatizwa na kupokelewa rasmi kanisani.
Akitoa shukrani zake za dhati, Mchungaji wa kanisa, Mchungaji Hudson Machoka, aliwashukuru waumini wote kwa kujitolea kwao kwa hali na mali, na kwa kufanikisha makambi ya mwaka huu kwa kuhudhuria kwa wingi.
Kama hukubahatika kufika au ungependa kutazama marudio ya mahubiri na vipindi hivi vilivyotia fora, usijali! Unaweza kufuatilia matangazo yote yaliyopeperushwa kwa weledi na stesheni yetu mubashara kupitia mtandao wa YouTube.
๐บ Endelea kufuatilia, kujifunza, na kubarikiwa kupitia:
๐ @HopeChannelKenya
๐ @EastKenyaUnionSDA
๐ @JerichoSDANairobi
Hakikisha ume-subscribe na kubonyeza alama ya kengele ๐ ili usipitwe na matangazo yetu na vipindi vijavyo!
#HopeChannelKenya #Makambi2026 #JerichoSDANairobi #EastKenyaUnionSDA #SDA #Uhuisho #Ubatizo #NenoLaMungu #SDAChurch
2 weeks ago | [YT] | 3
View 1 reply
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
MAKAMBI YA JERICHO SDA: SIKU YA 5 YA BARAKA ZA KIROHO! ๐ฅ
Makambi katika kanisa la Waadventista mtaa wa Jericho yaendelea kwa siku ya tano sasa. Washiriki waendelea kumiminika kanisani ili kufuatilia mafunzo yanayozidi kutolewa na wageni waalikwa ikiwemo wainjilisti wa vitabu na mafunzo mengine.ย
Pia, kanisa lilifanya makambi spesheli kwa jailli ya watoto huku takriban walimu sita wakiwahudumia wakiongozwa na Mwalimu Gavin Omwenga almaarufu kama Teacher Omena. Kwaya alikwa ni kwaya ya kanisa la Nyali mjini Mombasa.ย
Yamekuwa ni makambi yenye kufana huku wana wa Mungu wakihuishwa kiroho katika kusanyiko hili la kila mwaka katika kanisa la Waadventista wa Sabato.
#SDAChurch #JerichoSDANairobi #Worship #HopeChannelKenya
3 weeks ago | [YT] | 2
View 1 reply
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
IPI IMANI INAYOOKOA? | Siku ya 4 โ Makambi Mtaa wa Jeriko (SDA)
Je, unaijua Imani Inayookoa? Mungu anaendelea kuzungumza nasi kwa namna ya pekee kabisa katika Makambi ya Kanisa la Waadventista wa Sabato โ Mtaa wa Jericho!
Siku hii ya nne imekuwa ya baraka tele, mafundisho ya kina, na uwepo wa Mungu uliotawala. Usikubali kupitwa na kile Mungu alichotuandalia Juma hili.
3 weeks ago | [YT] | 1
View 1 reply
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
"STEP INSIDE BEFORE THE RAIN STARTS!" ๐ง๏ธ ARK OF SALVATION โต
The children at Jericho SDA Church, Nairobi had a wonderful time listening to Teacher Gavin Omwenga, one of the guest speakers at the Jericho SDA Church 2026 Campmeeting!
Through humor, vivid storytelling, and dynamic demonstrations that filled the sanctuary with laughter and joy, Teacher Gavin brought the story of Noah, his family, and the antediluvian generation to life. He delivered a powerful message for young and old alike:
Just as the people of old missed their safety by ignoring Noah's call, we are invited to make the right choice today. Jesus Christ is our true and everlasting Ark of Salvationโour secure harbor in every storm.
Don't stay outside! Open your heart, step into grace, and accept Christ as your personal Savior today. โจ
#JerichoSDA #Campmeeting2026 #ChildrensSermon #NoahAndTheArk #ArkOfSalvation #AcceptChrist #NairobiSDA #GospelInAction
3 weeks ago | [YT] | 10
View 1 reply
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
A WEEK OF BLESSING: EKUC PWD CAMPMEETING 2026
Hundreds gathered at Kisii School for the 7-day EKUC PWD Campmeeting (Aug 2-8, 2026), and it was nothing short of a blessing!
The culmination was led by EKUC territory leaders, including Possibility Ministry Leader Dr. John Okello, Executive Secretary Pr. Arphaxard Kiurire, and Treasurer Eld. Lameck Anyona. Dr. Okello termed the week a massive success, thanking EKUC leadership for their immense support of the PWD Department.
Watch the highlights from this incredible week of inclusion, worship, and community! ๐
#EKUC #PossibilityMinistry #Campmeeting2026 #KisiiSchool #Faith #PWDInclusion
3 weeks ago | [YT] | 7
View 0 replies
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
The first fundraiser towards the proposed Union within East Kenya Union Conference (EKUC) as conducted at Newlife SDA Church, Narok. The event was attended by various Church officers and congregants from EKUC including all its entities. Pastor Samuel Makori, President to EKUC led the fundraiser.
2 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
EAST KENYA UNION CONFERENCE CONFERENCE OF SDA
APM 2024 Campmeeting at Roots Academy, Nakuru
2 years ago | [YT] | 1
View 0 replies