Karibu kwenye Gospel Challenge Zone!🙌📣
Hapa tunamuinua Mungu kupitia changamoto za nyimbo za injili, sauti za kuhubiri moyo na ushuhuda wa ibada. Jiunge nasi kuimba, kushiriki neno na kueneza upendo wa Kristo kila siku!"tafadhali usiache ku subscribe
Gospel tune challenge
Amini safari yako.
Kila hatua ndogo ni maendeleo.
Imani si kuona,
Bali kuamini hata bila kuona.
Imani huanza pale nguvu zako zinapoishia.
Amini, Mungu anafanya kazi hata usipoona.
Muujiza wako uko karibu usikate tamaa endelea kuamini.kama bado unanwamini Mungu usipite bila kusema maneno haya
Yesu bado nakuamini
#gospel #fyp
2 weeks ago | [YT] | 6
View 2 replies
Gospel tune challenge
Na nawatakiwa wote Christmas njema, Mungu awatunze na kuwapa amani amen
Msisahau ku subscribe channel yetu wapendwa
Nawapenda na Mungu awabariki ♥️
1 month ago | [YT] | 3
View 0 replies
Gospel tune challenge
Asanteni sana kwa ku subscribe channel yangu nawapenda mbarikiwe na Mungu ❤️
2 months ago | [YT] | 3
View 0 replies