Kizumbi Forex Academy

Tunafundisha masomo yote kuhusiana na biashara ya Forex. Wasiliana nasi uweze kuyapata masomo unayohitaji +255748247691 CALL
+255625425706 Whatsapp


Kizumbi Forex Academy

Tutaendelea kesho, mtandao umekuwa chini

1 month ago | [YT] | 4

Kizumbi Forex Academy

Masahihisho muhimu

1 month ago | [YT] | 4

Kizumbi Forex Academy

Karibu group letu la signals na uchambuzi wa news za kila siku,utapewa direction ya masoko na kupewa settings za sehemu ya Kuchukua profit na loss.Pips tunazo risk ni 30 tu,na profit zetu mpaka pips 100.Wale wa Gold utapata zaidi ya pips 100.Kujua utaratibu wa kujoin tuchek 0748247691

1 month ago | [YT] | 3

Kizumbi Forex Academy

CPI NEWS

Kwa wale ambao watahitaji kupata uchambuzi wa hii news siku ya kesho mnakaribishwa mjiunge group letu la signals ambako hua tunachambua news za kila siku.Yaani pigo moja la CPI lina kurudishia pesa yote ambayo uliipoteza sokoni na kuifanya February yako kuwa ni mwezi bora kuwahi kutokea.Number zetu ni 0748247691 Whatsapp

1 month ago | [YT] | 2

Kizumbi Forex Academy

Hello Traders,Watu wengi wamekua wakiuliza kama kuna huduma ya signals,yes Signals zipo kila siku na Uchambuzi wa news ni Bure kama utakua kwenye group la Signals.Kama unahitaji kujiunga basi karibu tuchek kwa number zetu 0748247691.

1 month ago | [YT] | 3

Kizumbi Forex Academy

TULIWAPA MUDA WA KUFANYIA KAZI KILE TULICHOFUNDISHA, JUMATATU TUNAENDELEA MBELE TENA. TUNATAKA UTAMBUE KUWA SISI TUNAFUNDISHA SCIENCE YA SOKO. TUNAFUNDISHA MFUMO UNAOPIMIKA, TUNAKUFANYA UJUE SOKO HALIKO RANDOM. SOKO LIKO PROGRAMMED. WIKI IJAYO TUTAWAFUNGUA MACHO ZAIDI KWENYE SCIENCE YA SOKO KIASI KWAMBA HUTABAKI UNABABAIKA TENA HUSUSAN KWENYE PRICE ACTION. LAKINI ILI IWE TAMU NA NYEPESI KWAKO, TUMIA WEEKEND HII KUPITIA MASOMO YOTE AMBAYO HUJAYAPITIA KWANI TULIYAFUNDISHA KWAAJILI YA KUJA KUYATUMIA KIPINDI HIKI. DOTS ZITAUNGANA WALA USIWAZE. PIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA DARASA LA ZOOM LIVE ZIPO, WASILIANA NASI KAMA UNAHITAJI: +255625425706

5 months ago (edited) | [YT] | 4

Kizumbi Forex Academy

Kwa wanaohitaji kujiunga na darasa linalosoma live kwa njia ya zoom ili wawe wakiuliza maswali wakati kipindi kinaendelea, nicheki Whatsapp nipigie kwa namba +255625425706. Pia kama unahitaji kufundishwa peke yako nicheki nafasi zipo pia

5 months ago | [YT] | 3

Kizumbi Forex Academy

KESHO TUTAZAMA HAPA, KWA WEWE AMBAYE UNA ACCESS YA KUSOMA LIVE TUKUTANE DARASANI, KWA AMBAYE HUNA ACCESS BASI VIDEOS ZA KIPINDI TUTAZILETA YOUTUBE MARA TU BAADA YA KIPINDI KUISHA. KAA MKAO WA KUIELEWA FOREX KIUNDANI SANA

5 months ago | [YT] | 5

Kizumbi Forex Academy

Tunatoa pia huduma ya uchambuzi wa news za kila siku,anaye hitaji kujoin group hilo la fundamental live trading atuchek whatsup no 0625425706.Utapewa direction ya news na kujua nini ufanye.Uhakika ni mkubwa mnooo

5 months ago (edited) | [YT] | 3

Kizumbi Forex Academy

TUMEIONDOA VIDEO UFUNGUO WA KUFANIKIWA KWENYE FOREX TRADING SABABU SAUTI NA PICHA VILIKUWA VINAPISHANA, TUNAIRUDISHA IKIWA VIZURI MUDA SI MREFU

5 months ago | [YT] | 5