A_Afya kwanza__332

Jifunze kuhusu afya


A_Afya kwanza__332

Umewahi kusikia mtu hashiki ujauzito kwa sababu mirija imeziba?

Basi ndio inakuwa hivyo...

Inakuwaje...

Mirija ni midogo sana kama bomba la Kalama ila inauwazi katikati

Uwazi huo ni kwaajili ya mbegu kusafiri kwenda kukutana na yai, na yai kusafiri kwenda kwenye mirija

... kisha kwenda kwenye uterus/ mfuko wa mtoto ili mtoto akue

Sasa ule uchafu wa PID unapotoka hasa ule mzito ulee...

Hauchelewi kanza kuziba mirija...

Kumbuka yai hutoka kwenye ovary na mbegu hutoka ukeni

Kinachotokea vinashindwa kukutana kwasababu mirija imeziba...

🧡Na hapa ndipo wengi hushindwa kushika ujauzito

🧡 Hapa kama haijaziba kabisa mbegu zinapita ndio mimba hutungwa kwenye mirija (mimba nje ya mfuko wa kizazi)

🧡Makovu kwenye mirija

Hata unavyozibua Maumivu yake, nadhani mliowahi pata huduma hiyo mnatambua...

Na wengi bado inakuwa ngumu kushika ujauzito sio rahisi kama awali...

✨(Sikutishii) Ila nataka kusemaje...

✅Usipuuze PID kama inakusumbua muda mrefu

✅Hata kama unatibu ila kama tu haiponi chukua hatua #Fallopiantube blocked

3 days ago | [YT] | 0

A_Afya kwanza__332

Baada ya matibabu

3 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

Kuna Kansa zinazo athiri maeneo tofauti kwenye kizazi Cha mwanamke

Ikiwa ni pamoja na kwenye mayai, upande wa juu kwenye uterus karibu na mirija, kwenye mirija na upande wa kulia au kushoto mwa kizazi na Ile ya shingo ya kizazi

Je hizi saratani au Kansa naweza kuzitibu?

Yes unaweza kupata matibabu ya uhakika sana hasa Kansa ikiwa kwenye hatua ya 1 na hatua ya II

ila Kansa ikifikia hatua ya III na IV huwa inahitaji mtu kupata matibabu ya uhakika

Hapa ni muhimu upate matibabu ya kuweza kusaidia Kansa isisambae zaidi mwilini

By the way, tumeweza kuwasaidia wengi sana kwa changamoto hii kwa kutumia tiba maalumu na miongozo maalumu

Kama nawewe ni miongoni mwa wanaoteseka na changamoto hiyo basi wasiliana NAMI Sasa

Kupitia Namba Zangu kwenye Bio, ambapo unaweza kutupigia Moja kwa Moja au kutumia ujumbe Whatsapp Ili tuweze kukusaidia

P.S Afya yako ni wajibu wako

#sarataniyakizazi #kansa #cancer #uterinecancer

4 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

Maamuzi sahihi hukupa matokeo sahihi pia 💯

Unapotumia dozi kuwa na imani ya kupata matokeo

Niwatakie kila raheli wote mnaendelea na dozi na wale mnaoanza dozi pia

Amini mtakuwa sawa kabisa

5 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

Mama mjamzito hakikisha unafanya mambo haya kwa afya ya mwanao...

1.Jitahidi kutafta furaha muda wote...

2.Epuka msongo wa mawazo, jitahidi kukutana na watu sahihi wa kukutia moyo

3.Fanya mazoezi, kama kutembea angalau dk 20 hadi 30 kwa afya yako

4.Sikiliza mziki mtulivu na epuka mziki wa kelele

5.Kunywa maji ya kutosha

5 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

*🌹Doctor Nilijua Uchafu Kama Maziwa Ni Kawaida, Ila Najutia Kwa sasa😭...*

Aliniambia dada Angel kutoka Masaki Dar...

Kama nawewe ni miongoni mwa wanawake ambao wanatokwa na uchafu huo ukeni, basi leo naenda kukupa siri

Hakikisha unasoma hadi mwisho ujue namna ya kufanya

Imekuwa zaidi ya mara 20+ kukutana na wanawake ambao...

Wanapata dalili kama hizi...

⏩Kutokwa na uchafu

⏩Harufu mbaya ukeni

⏩Uchafu kwenye uume wa mwenza wakati wa tendo

⏩ Maumivu ya tumbo la chini

⏩ Maumivu ya kiuno na nyonga

⏩ Maumivu wakati wa tendo la ndoa

⏩Kutokwa na damu ukeni baada ya tendo

⏩Kupata miwasho

Huenda unadalili mbili tu au tatu kama dada Angel alivyokuwa...

Na hii hupelekea kupuuza kufanya vipimo na wengi kuishia kununua dawa kwa kukadiria tatizo

Kumbe hiyo ni shida ya Maambukizi ya PID sugu...

Ambapo Pasipo matibabu ya uhakika basi huwafanya wengi kutoa machozi baadaye...

Hasa wakiwa wameingia kwenye ndoa au ambao tayari wapo kwenye ndoa

UKWELI: PID ni maambukizi ambayo huanza kama hayana madhara

Lakini,

Madhara yake ni makubwa sana,

Kulingana na Tafiti za Mayo clinic ya marekani wanasema kwamba...

75% ya wanawake ambao wanashida za Mirija ni kutokana na kuchelewa kutibu changamoto za magonjwa ya zinaa ikiwa moja wapo ni PID

Na hiki ndicho kilimkuta Angel, baada ya kushindwa kushika ujauzito kwa muda mrefu...

Hata baada ya kushika mimba ikawa imetungwa nje ya mfuko wa kizazi Yaani kwenye (Mirija)

Hali iliyofanya kuteseka na maumivu ya tumbo, hadi pale alipoenda hospital na kukatwa mrija wake...

Hali hii hufanya mwanamke uanze kutegemea mayai ya upande mmoja

Ufanye nini kuhusu shida hiyo??

... vizuri umeuliza, ndiomaana niko hapa...

Basi fanya haya...,

-fanya vipimo kama bado hujafanya vipimo, na upate dawa

-Jaribu tumia mchanganyiko wa karafuu + mdalasini kunywa kama chai

Huku ukitumia vitunguu saumu kila mara

Na Kama tatizo lako ni sugu limekuwa la Muda mrefu basi,

Sitamani upate madhara, hivyo basi nipigie mapema nikushauri namna sahihi ya kufanya

By the way, unaweza kunipigia kwa namba yangu kwenye Bio

Au nitafte Whatsapp inbox kwa ushauri na Matibabu

Mr Elisha 0768927332

7 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

*🥦Elewa sababu zaa Vimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)*

Maana ya Ovarian cyst:-
Hii Ni Hali ya sehem ya mfuko wa mayai kujitokeza vijimbe vidogo vidogo vyenye maji maji kwa ndani.

Mwanamke yeyote Yule ana mfuko moja wa mayai (ovaries) kila upande kulia na kushoto mwa uteri(uterus).

Ambapo kila mwezi yai moja huweza kupevuliwa na kushushwa Kwenye mfuko wa UZAZI (uterus ) kwa ajili ya urutubishaji,

*Sababu kuu za Kuvimba kwa mfuko wa mayai* ,

🔴 Tatizo la hormonal imbalance,
Tatizo la hizi vimbe hutokea katikat ya umri wa kubarehe na Kukoma hedhi,

Hii ni kutokana na sababu ya hormone ya progesterone na estrogen kuzalishwa kwa wingi.

Na sababu kubwa Ni pale mwanamke anapo kuwa unatumia *dawa au vidonge vya UZAZI wa mpango* hupelekea vijivimbe vingi kwenye mfuko wa mayai.

🔴 Magonjwa ya UZAZI.(PID) Mfano, kaswende, Gonnorrhea, fungus, N.k

🔴 Endometriosis,
Hii ni Hali ambayo seli za ukuta wa uteri huweza kukua kwa Hali ya kiutofauti inayo pelekea kuanza kukua na kumeza yai ambapo hufanya kuwa uvimbe.

*Vyakula ambavyo Ukila husababisha hizo vimbe👇*

💎 Viazi vyeupe,
💎Mikate yenye rangi nyeupe
💎 Kutumia vyakula vilivyo tengenezwa kwa unga mweupe,
💎 vyakula vyenye sukarii kwa wingi,


*Dalili za Vimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)*

💎Kupata Maumivu makali upande mmoja wa mwili wenye vimbe hizo.

💎Kupata Maumivu kwenye nyonga,

💎 Hedhi kutoka mfululizo au Tareh tofauti tofauti,

💎Kupata Maumivu makali Tareh za hedhi.

💎 Kupata hedhi yenye mabonge mabonge ya damu.

💎Kupata Maumivu wakati wa tendo la ndoa,

💎Kupata vichomi na nyonga kukuza.

*Namna ya kuepuka Ovarian cyst*

🌑 Epuka kutumia UZAZI wa mpango wa kisasa,
🌑 Kula vyakula vya asili ili kuhakikisha unapata Virutubisho mhimu zaidi,
🌑 Mwanamke Usivute sigara

🌑Kuwa na uzito sahihi na kama una uzito mkubwa hakikisha unapunguza,


*Note* :
Tuna toa Tiba ya kuondoa Ovarian cyst na Uvimbe kwenye uzazi (Fibroids) Bila Kufanya upasuaji Na unapata matokeo mazuri,

Ambapo ndan ya Tiba hiyo Kuna products za kusawazisha hormone level na kufanya mfumo wa hormone unakuwa sawa,

Ukiwa Kwenye matibabu hayo Tunatoa Ushaur au elimu ya ulaji wa chakulaa buree kabisa"*

*Mr Elisha*

*_0768927332_*

8 months ago | [YT] | 2

A_Afya kwanza__332

*❓Je unafahamu kuwa Therapy 01 inauwezo huu hapa ... 👇*

🔸Uwezo wa kusawazisha hormone zako?

🔸Kwenda kuongeza uwezo kwa kupata ujauzito haraka?

🔸Unajua inaweza kukuondolea shida ya ukavu ukeni?

🔸Unatambua inaweza kuondoa maambukizi yote ya PID, fangasi na UTi wakati huohuo?

🔸Unafahamu inaweza kuondoa maumivu yote ya hedhi na kukufanya uifurahie hedhi yako?

🔸Unajua inaweza kukusaidia kukaza misuli ya uke na kizazi hivyo kukusaidia...
•kuepusha shida za mimba kuharibika
•kuufanya uke wako ubane zaidi?

🔸Unajua kuwa inaweza kukuondolea shida ya uvimbe kwenye mayai na PCOS?

🔸Unajua inaweza kukuondolea kero ya chango la uzazi?

🔸Je uunajua inaweza kurejesha hedhi yako iliyopotea na kuongeza uwezo wako wa kutafta mtoto tena?

🔸Unajua kuwa inaweza kukufanya ujiamini kwa sababu afya yako ipo sawa

🙌Unafahamu Leo ipo kwenye Punguzo la asilimia 15% yaani badala ya *~Tsh320,000~* utaipata kwa *Tsh272,000* tu?

Hiyo dozi kubwa Na dozi nyingine ya *~Tsh230,000~*

Utapata Leo kwa *Tsh195,500*

Je umeelewa hapo na tatizo kama limekuwa sugu na muda mrefu basi ni vema mtu atumie kubwa

ila kama halijamaliza hata mwaka au dozi nyingine ni nzuri sana

Afya kwanza, maisha ni Afya

Mr Elisha 0768927332

10 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

*🤝🤝🏿🤝🏻🤝🏾Zoezi muhimu kwa wanashindwa kubana mkojo*

Zoezi kuu la kubana misuli ya nyonga ili kuzuia mkojo linajulikana kama Kegel Exercise. Hili ni zoezi muhimu kwa wanaume na wanawake kuboresha udhibiti wa kibofu na kuimarisha misuli ya nyonga.

Jinsi ya Kufanya Zoezi la Kegel:

1. Tambua Misuli Sahihi – Wakati wa kukojoa, jaribu kusimamisha mkojo ghafla. Misuli unayotumia kusimamisha mkojo ndio unayotakiwa kufanyia mazoezi.


2. Kaza Misuli – Bana misuli hiyo kwa sekunde 3-5 kisha acha kwa sekunde 3-5.


3. Rudia – Fanya zoezi hili mara 10-15 kwa mzunguko mmoja, na rudia mara 3-4 kwa siku.


4. Hakikisha Unafanya Sahihi – Usibane misuli ya tumbo, mapaja, au makalio. Zoezi linapaswa kuwa la ndani kabisa.


5. Endelea kwa Wiki Kadhaa – Matokeo mazuri huanza kuonekana baada ya wiki 4-6 kwa mazoezi ya mara kwa mara

10 months ago | [YT] | 1

A_Afya kwanza__332

Mwanamke usidanganywe kuwa

•Karanga ni kwa wanaume...

Ukweli utakuwa unapoteza kitu muhimu sana kwenye mwili wako

Madini ya zink mtu akiyakosa basi hata hedhi yake kunauwezekano mkubwa wa Kuvurugika

Na wengi wanakosa maziwa wakati wa kunyonyesha kwasababu ya upungufu wa madini haya...

Zink ni muhimu kwa wagonjwa wa kansa na matatizo mengine ya kinga za mwili

Kwa mtoto ama binti anayekulia>> zink husaidia kukua kwa viungo vyake vya uzazi

Hapo ni kwa mwanamke na mwanaume pia,

➡️Bahati mbaya kama mama mjamzito akikosa madini haya

Huenda kuleta athari hata kwa mtoto tumboni

Hivyo unaongeza uwezekano wa kupata mtoto ambaye hayuko kawaida (abnormal fetal)

➡️Unapokosa madini haya basi ni rahisi Kupata...

-vidonda vya mdomoni

-Chunusi usoni

-Kwa mtoto ukuaji wa mwili na akili vinakuwa haviendi vizri

-kinga yako kushuka

*Sababu za kupungua kwa madini ya zink zinaweza kuwa...*

-Upungufu tangu kuzaliwa

-kutokula vyakula vya zink

-Mwili kushindwa kufyonza vizuri madini haya

P.S : Upungufu wa zink unaweza kupelekea virutubisho vingine kushindwa kufanya kazi ipasavyo mwilini

Kama, protini, mafuta na sukari

Vyanzo vya zink ni kama

.Karanga
.Ufuta
.Korosho
.mbegu za maboga
.mbegu za tikiti maji
.Nazi...

Kwa ujumla *nuts* zote zina madini ya zink

(Cashnuts, groundnuts, coconuts...

Afya kwanza, tunaijali afya yako

10 months ago | [YT] | 1