Dr Odinga afya na mifupa

Afya ya mifupa na viungo
ushauri na tiba 🩺👑
+255747717125
Tanzania, Dar


Dr Odinga afya na mifupa

SCIATICA HUATHIRI UWEZO WA TENDO LA NDOA

Kushuka kwa hamu ya tendo la ndoa (low libido).

Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa (dyspareunia kwa wanawake, erectile difficulties kwa wanaume).

Hali ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo (depression) kutokana na maumivu ya muda mrefu.


➡️ Kwa hivyo, matatizo ya mifupa siyo tu changamoto ya kutembea au kufanya kazi, bali yanaweza kuathiri pia ubora wa maisha ya ndoa na uhusiano wa kimapenzi.

5 months ago | [YT] | 0