SOPHIA MWAKAGENDA Online tv

Hii ni Channel Ya Kitanzania Ambayo inajihusisha kupashana Habari za Kitaifa, Kimataifa, Michezo, Afya, Elimu, Makala, Siasa, Uchumi na Maigizo. Channel hii inafanya kazi Kwa kuzingatia Maadili Ya Uandishi Wa Habari Haki Za Binaadamu na Sheria Ya Huduma Za habari Ya Mwaka 2010 Nchini Tanzania

Channel hii ni Chombo Huru ambacho Akifungamani Na Upande Wowote Kimaslahi Ya Mtu au Kikundi Flani Chochote bali Utendaji wake wa Kazi ni Kwa Usawa Bila Kuonea Mtu Na Kila Ambaye Habari Yake Itaonesha Hapa Itazingatia Maadili, Haki, Pamoja Na Utu.