Welcome to the official Channel of PNTV Kiswahili


PNTV Kiswahili

#Uganda
ACP @mkituuma, msemaji wa @PoliceUg, ametupilia mbali taarifa za madai ya kukamatwa kwa Robert Kyagulanyi, akizitaja kuwa ni za uongo na zinazopotosha.

Fuatilia PNTV KISWAHILI
Pata Usaidizi wa Huduma ya kusajili kampuni, majina ya Biashara, KUOMBA vibali vya Kuendesha MICROFINANCE, kutengeneza Tovuti,mobile apps nk kupitia tovuti yetu ya www.phidtech.com au Tupigie 0682188544

49 minutes ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

#Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kushinda muhula wa 7 kama Rais wa Uganda katika saa chache zijazo. Tume ya Uchaguzi imesema hadi sasa ana asilimia 75 ya kura, dhidi ya asilimia 21 za Bobi Wine, huku asilimia 70 ya vituo vyote vya kupigia kura vikiwa tayari vimehesabiwa.
Bobi Wine amewaomba wafuasi wake “kupuuza matokeo ya uongo,” akiongeza kuwa “wananchi wa Uganda watakuwa na neno la mwisho kuhusu huu upuuzi.”

Fuatilia PNTV KISWAHILI
Pata mfumo Bora kwa Taasisi yako ya fedha yaani Microfinance Tembelea www.phidtech.com

11 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

#Uganda UgandaEC imetoa matokeo ya tano ya muda ya uchaguzi wa urais.
Hadi sasa, kura halali 9,293,812 zimehesabiwa kutoka vituo vya kupigia kura 41,177.

Endelea Kufuatilia PNTVKISWAHILI

Je unahitaji kutengeneza Tovuti na Mifumo mbalimbali?Tembelea www.phidtech.com
#Uganda #mseven #uchaguzi

12 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

Yoweri Museveni will win a 7th term as Uganda's president in the hours ahead. The electoral commission says he has 75% of the votes so far, against Bobi Wine's 21% with 70% of all the polling stations counted.

Bobi Wine is asking his supporters to "ignore the fake results," adding that "the people of Uganda will have the final say on this nonsense"

12 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

#Nigeria Chanzo kinasema kuwa Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) huenda liliwasilisha malalamiko kwa CAF ili ichunguze uamuzi wa waamuzi wa mechi hiyo, pamoja na refa wa Ghana, baada ya kudaiwa kuonekana akisherehekea na baadhi ya Wamorocco mara tu baada ya mechi kumalizika.
Iwapo atapatikana na hatia, mechi ya Morocco dhidi ya Nigeria huenda ikachezwa tena
Fuatilia PNTV KISWAHILI
Pata mfumo wa Kuendesha Shughuli za Microfinance kupitia tovuti ya www.phidlms.co.tz

13 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

#Uganda TAARIFA MPYA: Matokeo ya nne ya awali ya uchaguzi wa rais kutoka Tume ya Uchaguzi ya Uganda.
Hadi sasa, kura halali 8,135,089 zimehesabiwa kutoka vituo 35,491 vya kupigia kura, sawa na 69.95% ya jumla ya vituo vya kupigia kura nchini.
Fuatilia PNTV KISWAHILI

Je unahitaji Usaidizi wa Huduma ya kusajili kampuni, majina ya Biashara, KUOMBA vibali vya Kuendesha MICROFINANCE, kutengeneza Tovuti na Mifumo nk Tembelea www.phidtech.com
#mseven #Bobwine #uganda

15 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

Naibu Msemaji wa National Unity Platform (NUP) chama cha upinzani Uganda, mwaka jana
2025 alitamatwa akiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kawempe, Kampala alipokwenda kuhudhuria kesi ya Eddie Mutwe, ambae ni mkuu wa ulinzi wa Bobi Wine.

Alex Waiswa Mufumbiro akaunganishwa katika kesi na Eddie Mutwe, wakatunzwa gereza la Luzira, Kampala na hawakiwahi kuachiwa huru.

Alex Waiswa Mufumbiro ameishi gerezani kwa siku 78 hadi sasa, lakini Katika uchaguzi mkuu wa Uganda uliofanyika jana, 15.01.2025, wananchi wa Nakawa Mashariki, Kampala, wamemchagua ALEX WAISWA MUFUMBIRO kuwa mbunge wao kupitia National Unity Platform (NUP) akiwa gerezani.

Fuatilia PNTV KISWAHILI
Pata Usaidizi wa Huduma ya kusajili kampuni, majina ya Biashara, KUOMBA leseni na vibali mfano vibali vya Kuendesha MICROFINANCE, kutengeneza Tovuti na Mifumo kupitia www.phidtech.com

22 hours ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

Matokeo ya awali ya uchaguzi Uganda 2026, yalitolewa muda mfupi kabla ya saa tano usiku yanaonyesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliyemadarakani anaongoza kwa asilimia zaidi ya 60 ya kura zilizopigwa.

Jaji Simon Byabakama, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Uganda alisema matokeo hayo yamezingatia vituo 133 vya kupiga kura yaliowakilisha asilimia 0.26 ya jumla ya kura zilizopigwa.

Byabakama alithibitisha kuwa taarifa zingine juu ya uchaguzi zitatolewa Ijumaa, saa tatu asubuhi wakati matokeo zaidi yanaendelea kuwasilishwa katika kituo kikuu cha kuhesabu kura kilichoko eneo la Wakiso.

✓Pata mfumo Bora wa Kuendesha Shughuli zako za Microfinance kupitia www.phidlms.co.tz

1 day ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

Ni Kocha wa soka kutoka Ujerumani, alizaliwa tarehe 16 Juni 1967. Alianza kujulikana sana kama kocha alipokuwa akiinoa Borussia Dortmund, ambako alishinda mataji ya Bundesliga mara mbili (2010–2012) na kufika fainali ya UEFA Champions League 2013.

Mwaka 2015, aliteuliwa kuwa kocha wa Liverpool FC, akirithi timu iliyokuwa haijashinda mafanikio makubwa kwa muda mrefu. Chini ya uongozi wake, Liverpool ilibadilika na kuwa moja ya timu bora duniani, ikicheza soka la kasi linalojulikana kama “gegenpressing.”

Mafanikio yake makubwa akiwa Liverpool ni pamoja na:
🏆 UEFA Champions League 2019
🏆 Ligi Kuu ya England (Premier League) 2019/2020 – taji la kwanza la ligi kwa Liverpool baada ya miaka 30
🏆 FIFA Club World Cup 2019
🏆 FA Cup 2022
🏆 Carabao Cup 2022

JE NI NANI?MTAJE
Pata Usaidizi wa Huduma ya kusajili kampuni, majina ya Biashara, KUOMBA leseni na vibali, kutengeneza Tovuti na Mifumo kupitia sehemu Moja tu www.phidtech.com

1 day ago | [YT] | 0

PNTV Kiswahili

Alikataa kuitumikia Hispania na akaamua kuwakilisha Morocco akiwa na umri wa miaka 17.
Alicheza akiwa na majeraha kwa sehemu kubwa ya Kombe la Dunia la 2022, akisaidia taifa lake kufika hatua ya nusu fainali.
Alileta medali ya Olimpiki nyumbani akiwa kama nahodha wa timu ya taifa, na akawa Mmorocco wa kwanza kushinda African Ballon d’Or tangu mwaka 1998.
Sasa yuko karibu kushinda AFCON akiwa nahodha

Pata huduma ya hosting na Domain kupitia www.phidhosting.com

1 day ago | [YT] | 0