Karibu kwenye channel yangu! Hapa utapata muziki wa kipekee unaoelezea maisha ya vijana, starehe, changamoto, na mambo ya kila siku kwa lugha ya Kiswahili. Natoa nyimbo za kisasa, za kuvutia na zenye ujumbe mzito. Usisahau ku-subscribe ili usikose video mpya kila mara! Tupo pamoja kwenye safari hii ya muziki na burudani!


sabject255

Welcome to my new channel, here I will soon release my first new song

8 months ago | [YT] | 0