Mr Seza official

MUNGU ANAKUJUWA VYEMA.💯


Mr Seza official

“Leo ni Jumapili 🌿
Pumzisha mawazo yako, mpe Mungu mizigo yako, kisha endelea kuamini.
Wakati mwingine kuchelewa sio kukataliwa… ni maandalizi ya baraka kubwa zaidi.” ✨🙏🌃

4 months ago | [YT] | 3