Mwanamuziki @harmonize_tz ameikata show yake ya Mtwara ambayo alitarajia kuitanya January 1,2025 kutokana na changamoto za usafiri. . Harmonize ameainisha hayo kupitia Instastory yake ambapo amesema kuwa amekosa Ndege binafsi ambayo ingemsafirisha kutoka Kenya anapopiga show mkesha wa mwaka. . #frontlinetv #frontvibes
Mume wa miaka 42 kutoka Lusaka, Zambia amewasilisha talaka mahakamani baada ya mke wake, mwenye umri wa miaka 34, kupiga picha na msanii maarufu wa R&B kutoka Marekani, #ChrisBrown. . Picha hiyo, iliyopigwa wakati wa hafla ya “meet and greet” baada ya tamasha la #ChrisBrown katika uwanja wa FNB nchini Afrika Kusini, ilimuonyesha msanii huyo akimbusu mke wake kwenye shavu huku akitabasamu kwa bashasha. . Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, mume huyo alieleza kuwa picha hiyo ni ya kudhalilisha na imeleta uharibifu mkubwa kwenye ndoa yao. Alieleza zaidi kuwa kitendo hicho cha mke wake ni cha “aibu” na hakifai kufanywa na mwanamke aliyeolewa. . Mke huyo alikuwa miongoni mwa mashabiki walionunua tiketi ya VIP kwa ajili ya kukutana na #ChrisBrown ana kwa ana, kipengele kilichojumuisha kupiga picha na kushiriki muda wa kipekee na msanii huyo. . Mume huyo alidai kuwa kitendo cha mke wake ni uvunjaji wa imani na kiapo cha ndoa. Alisema alipomkabili mke wake baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini, alikataa kuonyesha majuto, akisema picha hiyo haina madhara na ilikuwa sehemu ya hafla hiyo.
“Mke wangu ametenda kitendo kisichofaa kwa mwanamke aliyeolewa. Picha hii imenivunjia heshima hadharani na kunisababishia maumivu ya kihisia,” alisema mume huyo mahakamani. . Hata hivyo, mke huyo alitetea hatua yake, akisema busu hilo halikuwa la kimapenzi na picha hiyo haipaswi kuchukuliwa nje ya muktadha wake. . Aliongeza kuwa ilikuwa tu sehemu ya furaha ya kukutana na msanii wake anayempenda, na hakuwa na nia ya kumvunjia heshima mume wake. .
Watu 47 wamefariki dunia baada ya ndege ya abiria kutua kwa dharura kisha kushika moto katika uwanja wa ndege wa Kusini-Magharibi mwa Korea Kusini, idara ya zimamoto ya eneo hilo ililiambia CNN. . Ndege ya Jeju Air, 7C 2216, iliyokuwa ikitoka Bangkok, ilikuwa na jumala ya watu 181 wakiwemo abiria 175 na wahudumu sita. Uchunguzi juu ya chanzo cha ajali hiyo unaendelea . Powered By @joackcompany

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa kwa tezi dume (prostate) siku ya leo December 29,2024. . Jumatano iliyopita, Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, alifanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Hadassah huko Jerusalem, ambapo madaktari waligundua maambukizi katika njia yake ya mkojo yaliyosababishwa na kuvimba kwa tezi dume ambayo si ya saratani, ilisema ofisi ya Waziri Mkuu. . Powered By @joackcompany . #frontvibez #frontlinetv
Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024 . Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kwenye udereva wa Treni alitimiza dhamira yake ya kujiua na mwili wake uligundulika masaa mawili baadae. . Kutokana na teknolojia ya hali ya juu ya treni hiyo ilisimama yenyewe baada ya kugundua kuwa dereva hayupo kwenye kiti chake. Tukio hili lilisababisha kuchelewa kwa safari nyingi za Treni Jijini Paris siku ya Christmas . Powered By @joackcompany
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika usiku wa Disemba 28/ 2024 jijini Dar es Salaam ambalo halikua la ubingwa na kupigwa TKO katika raundi ya sita dhidi ya mpinzani wake Paulo Elias.
Bondia huyo kutokana na hali yake alipelekwa hospital ya Sinza akapatiwa rufaa ya kupelekwa hospital ya Mwananyamala ndipo umauti ulipomkuta wakati anapatiwa matibabu.
Baada ya Rapa #JayZ kutajwa kushirikiana na #Diddy Kumbaka Binti wa Miaka 13 Mwaka 2000, #JayZ amejitokeza na kukanusha madai hayo na kumkosoa Wakili #TonyBuzzbee ambae anasimamia kesi hiyo. . Mshtaki anayejulikana kama "Jane Doe," anadai kisa hicho kilitokea baada ya kupelekwa kwenye hafla ya baada ya hafla ya Tuzo Video za MTV mnamo 2000, kulingana na habari za NBC. . Kesi hiyo pia inaeleza kuwa wakati Jay-Z na Diddy wakimbaka kwa zamu, kuna mwanamke mashuhuri ambaye hakutajwa jina alikuwepo. .
Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk amefunguka kuwa swala la Diamond Kutoimba kwenye tamasha la #FurahaFestival usiku wa jana ni maswala ya WCB na waandaaji wa show sio sababu kuwa #WillyPaul alilazimisha kupanda kabla ya Diamond . Sallam anasema kuwa Willy Paul anatafuta kiki. Willy Paul alikuwa anabishana na Zuchu alimzuia asipande
Frontline Tv
Mwanamuziki @harmonize_tz ameikata show yake ya Mtwara ambayo alitarajia kuitanya January 1,2025 kutokana na changamoto za usafiri.
.
Harmonize ameainisha hayo kupitia Instastory yake ambapo amesema kuwa amekosa Ndege binafsi ambayo ingemsafirisha kutoka Kenya anapopiga show mkesha wa mwaka.
.
#frontlinetv
#frontvibes
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Mume wa miaka 42 kutoka Lusaka, Zambia amewasilisha talaka mahakamani baada ya mke wake, mwenye umri wa miaka 34, kupiga picha na msanii maarufu wa R&B kutoka Marekani, #ChrisBrown.
.
Picha hiyo, iliyopigwa wakati wa hafla ya “meet and greet” baada ya tamasha la #ChrisBrown katika uwanja wa FNB nchini Afrika Kusini, ilimuonyesha msanii huyo akimbusu mke wake kwenye shavu huku akitabasamu kwa bashasha.
.
Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, mume huyo alieleza kuwa picha hiyo ni ya kudhalilisha na imeleta uharibifu mkubwa kwenye ndoa yao. Alieleza zaidi kuwa kitendo hicho cha mke wake ni cha “aibu” na hakifai kufanywa na mwanamke aliyeolewa.
.
Mke huyo alikuwa miongoni mwa mashabiki walionunua tiketi ya VIP kwa ajili ya kukutana na #ChrisBrown ana kwa ana, kipengele kilichojumuisha kupiga picha na kushiriki muda wa kipekee na msanii huyo.
.
Mume huyo alidai kuwa kitendo cha mke wake ni uvunjaji wa imani na kiapo cha ndoa. Alisema alipomkabili mke wake baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini, alikataa kuonyesha majuto, akisema picha hiyo haina madhara na ilikuwa sehemu ya hafla hiyo.
“Mke wangu ametenda kitendo kisichofaa kwa mwanamke aliyeolewa. Picha hii imenivunjia heshima hadharani na kunisababishia maumivu ya kihisia,” alisema mume huyo mahakamani.
.
Hata hivyo, mke huyo alitetea hatua yake, akisema busu hilo halikuwa la kimapenzi na picha hiyo haipaswi kuchukuliwa nje ya muktadha wake.
.
Aliongeza kuwa ilikuwa tu sehemu ya furaha ya kukutana na msanii wake anayempenda, na hakuwa na nia ya kumvunjia heshima mume wake.
.
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Watu 47 wamefariki dunia baada ya ndege ya abiria kutua kwa dharura kisha kushika moto katika uwanja wa ndege wa Kusini-Magharibi mwa Korea Kusini, idara ya zimamoto ya eneo hilo ililiambia CNN.
.
Ndege ya Jeju Air, 7C 2216, iliyokuwa ikitoka Bangkok, ilikuwa na jumala ya watu 181 wakiwemo abiria 175 na wahudumu sita. Uchunguzi juu ya chanzo cha ajali hiyo unaendelea
.
Powered By @joackcompany
#frontlinetv
#frontvibez

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa kwa tezi dume (prostate) siku ya leo December 29,2024.
.
Jumatano iliyopita, Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, alifanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Hadassah huko Jerusalem, ambapo madaktari waligundua maambukizi katika njia yake ya mkojo yaliyosababishwa na kuvimba kwa tezi dume ambayo si ya saratani, ilisema ofisi ya Waziri Mkuu.
.
Powered By @joackcompany
.
#frontvibez
#frontlinetv
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024
.
Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kwenye udereva wa Treni alitimiza dhamira yake ya kujiua na mwili wake uligundulika masaa mawili baadae.
.
Kutokana na teknolojia ya hali ya juu ya treni hiyo ilisimama yenyewe baada ya kugundua kuwa dereva hayupo kwenye kiti chake. Tukio hili lilisababisha kuchelewa kwa safari nyingi za Treni Jijini Paris siku ya Christmas
.
Powered By @joackcompany
#frontlinetv
#tanzania🇹🇿
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika usiku wa Disemba 28/ 2024 jijini Dar es Salaam ambalo halikua la ubingwa na kupigwa TKO katika raundi ya sita dhidi ya mpinzani wake Paulo Elias.
Bondia huyo kutokana na hali yake alipelekwa hospital ya Sinza akapatiwa rufaa ya kupelekwa hospital ya Mwananyamala ndipo umauti ulipomkuta wakati anapatiwa matibabu.
#ndondi #masumbwi #hassanmgaya #daressalaam #tandale
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Baada ya Rapa #JayZ kutajwa kushirikiana na #Diddy Kumbaka Binti wa Miaka 13 Mwaka 2000, #JayZ amejitokeza na kukanusha madai hayo na kumkosoa Wakili #TonyBuzzbee ambae anasimamia kesi hiyo.
.
Mshtaki anayejulikana kama "Jane Doe," anadai kisa hicho kilitokea baada ya kupelekwa kwenye hafla ya baada ya hafla ya Tuzo Video za MTV mnamo 2000, kulingana na habari za NBC.
.
Kesi hiyo pia inaeleza kuwa wakati Jay-Z na Diddy wakimbaka kwa zamu, kuna mwanamke mashuhuri ambaye hakutajwa jina alikuwepo.
.
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Frontline Tv
Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk amefunguka kuwa swala la Diamond Kutoimba kwenye tamasha la #FurahaFestival usiku wa jana ni maswala ya WCB na waandaaji wa show sio sababu kuwa #WillyPaul alilazimisha kupanda kabla ya Diamond
.
Sallam anasema kuwa Willy Paul anatafuta kiki. Willy Paul alikuwa anabishana na Zuchu alimzuia asipande
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Load more