Ukurasa rasmi wa UTV, chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha Azam TV | Jiunge nasi ili usipitwe na Morning Trumpet Jumatatu - Ijumaa saa 12:00 asubuhi | Azam News kila siku saa 2:00 usiku | Adhuhuri LIVE saa 7:00 Mchana | Alasiri Lounge saa 9:00 Alasiri | Hello Wikiendi Jumamosi na Jumapili saa 1:00 asubuhi | Michezo, Maisha, Muziki na Burudani