๐Ÿ˜‚ Karibu NduiMedia โ€“ Kicheko Bila Kikomo! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

NduiMedia ni chaneli yako pendwa ya vichekesho vinavyogusa siasa za Bongo, maisha ya kila siku, na uhalisia wa jamii kwa njia ya kuchekesha na kufikirisha.

Kila siku tunakuletea video mpya โ€“ zile za kukufanya ucheke hadi machozi, lakini pia zenye ujumbe mzito kuhusu maisha tunayoyaishi.

๐ŸŽฏ Hapa ni nyumbani kwa:

Vichekesho vya kisiasa (lakini kwa staha na akili)

Skit za maisha ya kawaida mitaani

Ucheshi wenye mafunzo ya kijamii

Video fupi zenye burudani ya kipekee


๐Ÿ•’ Tunapost video MPYA kila siku! Hakikisha unajiunga na familia ya NduiMedia ili usipitwe.

๐Ÿ“ฒ Usisahau kutufuatilia pia kwenye mitandao mingine:

Facebook: @NduiMedia

TikTok: tiktok: @NduiMedia

Instagram: @NduiMedia


๐Ÿ‘‰ BONYEZA SUBSCRIBE sasa โ€“ kicheko hakisubiri!


Ndui Media

USIKOSE MTOTO WA RAISI ๐Ÿคฃ

3 days ago | [YT] | 4

Ndui Media

1 week ago | [YT] | 14

Ndui Media

ASANTENI SANA KWA UPENDO WENU ๐Ÿ™

1 week ago (edited) | [YT] | 6

Ndui Media

Nimeshuhudia pambano la Mchezo wa Ngumi kati ya Mwakinyo na Bondia kutoka Nigeria. Mchezo uliochukua round mbili kutamatika baada ya mNigeria kupokea kichapo cha Ngumi ya shavu na kuamua mwenyewe kuchutama na kungโ€™atuka ulingoni.

Ushindi wa Mwakinyo haukunishangaza sana kwa kuwa ni kawaida yake kushinda mapambano kama haya. Kitendo kilichonishangaza na kuvuta hisia zangu kutamani kufikiri na kutafsiri; ni uvaaji wake wa Tisheti yenye picha ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan (Mbele) na picha ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Tundu Antipas Lissu (Nyuma).

Unafikiri kwanini Mwakinyo aliamua kuvaa Tisheti yenye picha hizo? Unafikiri hizo picha zilikuwa zimebeba ujumbe gani? Unadhani Mwakinyo ni kijana wa aina gani ukimlinganisha na vijana wengine wa kiTanzania? Unamshauri nini huyu kijana mwenzetu? Unawashauri nini wasanii na watu maarufu katika ushiriki wao wa kujenga Tanzania Mpya?

Kipi kimekushangaza? Nini maoni yako?

1 week ago | [YT] | 7

Ndui Media

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‰kulinda na kuhimiza democrasia ya kweli ndani ya Bunge
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‰Kusimamia mijadala Kwa haki, nidhamu na uwazi
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‰Kukuza UMOJA heshima na mshikamano miongoni mwa waheshimiwa wabunge
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‰Kwa kutambua mchango mkubwa uongozi mahili na maadili ya juu Katka Kusimamia shughuri za Bunge Kwa haki,busara,na uzalendo Tuzo hii inatolewa Kwa spika Bora WA Bunge la TANZANIA
MW. SAMWELI SITTA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

1 week ago | [YT] | 16