🥕Nyau Kitchen🥕



🥕Nyau Kitchen🥕

📢 TANGAZO LA AJIRA – NYAU KITCHEN

(Chini ya NYAU LIMITLESS COMPANY)

NYAU LIMITLESS COMPANY, kupitia NYAU KITCHEN, inatangaza nafasi za ajira kwa watu wenye bidii, uaminifu na ari ya kazi katika nafasi zifuatazo:

🔹 Nafasi Zinazohitajika

Supplier wa Chakula – Watu 2

Chips Boy – Mtu 1

Juice Maker & Supplier – Mtu 1

📄 Viambatanisho Vinavyohitajika

Waombaji wanatakiwa kuwasilisha:

Barua ya Serikali ya Mtaa

Barua ya Mdhamini

Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Kadi ya Mpiga Kura

Picha 2 za Passport Size

📬 Namna ya Kutuma Maombi

📞 WhatsApp / Simu: 0752 594 579
📧 Email: ashakinyau@gmail.com

📍 Au fika moja kwa moja:
NYAU KITCHEN, Comfort Hall, Chamazi–Magengeni, Dar es Salaam

📲 Tupate pia kwenye mitandao yote ya kijamii:
👉 @nyaukitchen

⏰ Wahi sasa! Nafasi ni chache.
Jiunge nasi na uwe sehemu ya timu inayokua ya NYAU LIMITLESS COMPANY.


#NyauKitchen
#NyauLimitlessCompany
#TangazoLaAjira
#AjiraDarEsSalaam
#JobOpportunityTZ
#ChipsBoy
#FoodSupplier
#JuiceMaker
#UlipoTupo

1 week ago | [YT] | 1

🥕Nyau Kitchen🥕

Cook with Nyau Delicious foods

3 years ago | [YT] | 7

🥕Nyau Kitchen🥕

Next cookng process 😋😋😋😋😋😋🥰🥰🥰

3 years ago | [YT] | 5