At ValEma ChannEl, we’re passionate about filmmaking and entertainment. Explore a variety of content, including the beauty of Tanzania, documentaries, lifestyle videos, short films (humor, drama, and more), and behind-the-scenes footage. There’s something for everyone!

Subscribe and join us on this creative journey!

#ValEmaChannEl #Filmmaking #Entertainment #Tanzania #Documentaries #Lifestyle #ShortFilms #Humor #Drama #BehindTheScenes #inspiration

----

Katika ValEma ChannEl, tunapenda sana uundaji wa filamu na burudani. Gundua maudhui mbalimbali, ikiwemo uzuri wa Tanzania, hati za filamu, maudhui ya maisha, filamu fupi (vichekesho, drama, na zaidi), na picha za nyuma ya pazia. Tunayo kitu kwa kila mtu!

Usisahau kusubscribe – jiunge nasi kwenye safari hii ya ubunifu na furaha!


ValEma ChannEl

βœ¨πŸŽ™οΈ We Are Back | Ndoto Ni Safari

A new season of Ndoto Ni Safari is finally here! Produced with passion and dedication by ValEma|MEDIA, this podcast continues to take you on a journey of stories, culture, and inspiration. 🌍✨

Expect powerful conversations, unique perspectives, and thought-provoking ideas that connect us all.

πŸ”” Subscribe today and be part of the Ndoto Ni Safari journey, your support keeps the vision alive!

#ndotonisafari #nns #PodcastSeason #NewSeason #Storytelling #Culture #Inspiration #AfricanVoices #PodcastLife #StayTuned

3 months ago (edited) | [YT] | 0

ValEma ChannEl

🎬 π—¨π—¦π—”π—›π—œπ—Ÿπ—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 π—™π—œπ—Ÿπ—”π— π—¨ π—™π—¨π—£π—œ πŸ“’

Hii ni fursa kwa wakazi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam, kama chapisho linavyojieleza zingatia vigezo vilivyowekwa. Watakao chaguliwa watatafutwa ilikuweza kufika BAGAMOYO kwaajili ya usahili, usisite kushare Tangazo hili kwa ndugu,jamaa na rafiki ambae hii fursa inaweza kumsaidia kutimiza ndoto yake yakuwa muigizaji. Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa kufurahia kazi zetu na fursa zaidi.

Tuma video yako kwa WhatsApp kupitia namba hii: 0654 083 979

#casting #castingcall

8 months ago | [YT] | 5