Mifugo Tz chini ya JOACK Company Limited inatoa huduma za mifugo pamoja na uuzaji wa bidhaa zote zinazo husiana na maswala ya Mifugo | Tanzania | Simu: +255712253102


Mifugo Tanzania

OFA OFA TUNAUZA POULTRY CAGE CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI NA KUKU WA NYAMA

WE RE SELLING POULTRY CAGE

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

Bei zetu za cage za kuku wa nyama (Broiler) na kuku wa mayai (Layers)

Umuhimu wa kutumia cages na automatic feed/water system kwa ufugaji wa kuku.

1. Kuzuia upotevu wa chakula -Kupunguza gharama ya uendeshaji

2. Kuondoa hatari yamaambukizi ya magonjwa

3. Kupunguza idadi ya watumishi shambani

4. Kuwezesha kufuga kuku wengi katika eneo dogo

5. Systems zote za cages na feed/water ni scientifically approved

#poultrycage #cagezakuku #kukuwamayai #mayai #kuku #kejizakuku #kejizakukuwamayai #tunauzakejizakuku

Kuhusu kampuni yetu follow @joackcompany

Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.

Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #tanzania🇹🇿 #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #vifaranga #daktariwamifugo #dodoma #daressalaam

JOACK Company LTD | DSM + BAGAMOYO

10 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNATOA HUDUMA YA MATIBABU NA CHANJO KWA WANYAMA AINA ZOTE | MBWA, PAKA, NK

JOACK MOBILE ANIMAL HOSPITAL | HOSIPITALI YA WANYAMA |

Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

JOACK ANIMAL HOSPITAL ina madaktari (Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama aina zote

Tunatoa huduma ya tiba na chanjo kwa mifugo | we provide quality and affordable veterinary service

Tuna huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako
c) Matibabu ya magonjwa kwa wanyama
d) Tunafanya operation kubwa na ndogo
e) Na huduma nyingine zinazo fanana na hizo

Huduma zetu ni bora, wengi ni mashaidi, na tutaendelea kutoa huduma bora siku zote maana furaha yetu nikuona wanyama wana afya bora.

Ushauri: Ni vema kuwachanja (vaccination) wanyama wako na kuwafanyia matibabu stahiki maana kwa kufanya hivyo unalinda afya ya mnyama wako na afya yako, ya familia na jamii kwa ujumla.

Hii ni kwasababu binadamu anaweza kupata maambuki ya vimelea vya magonjwa kutoka kwa mnyama lakini binadamu pia anaweza kuleta maambukizi kwa mnyama pia kitaalamu haya magonjwa yanaitwa zoonotic diseases.

Mfano wa magonjwa hayo (Zoonotic diseases) ni kama:
a) Rabies (Kichaa cha mbwa) - Virus
b) Helminthosis (Baadhi ya minyoo)
c) Leptospirosis - Bacteria
d) Tuberculosis (TB) - Bacteria

Na mengine mengi

#mobilepetclinic #joackanimalclinic #animaltreatment #animalsclinic #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #doctorofanimals #matibabuyambwa

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

Website
www.joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

#joackcompany #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #paka #mbwa #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo

11 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNAUZA SUNGURA WA KISASA X CHOTARA WE ARE SELLING HYBRID RABBITS - DSM + MKOANI TUNATUMA.

WhatsApp/Call/Text: +255 712 253 102

Mda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackanimalclinic

Tupo wazi kila siku kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 5 usiku.

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

SUNGURA ni kati ya wanyama wenye mauombo madogo, hawachukui eneo kubwa, pia ni kati ya wanyama ambao ni rahisi kuwafuga na hawana gharama kubwa.

Sungura akitunzwa vyema inavyostahili haugui kwa urahisi na pia lishe yake ni rahisi kupatikana.

Chakula cha sungura ni kama nyasi, mamboga kama vile sukuma wiki, spinarch, karoti, na pia unaweza kununua chakula halisi cha sungura kutoka maduka(pillet)

Wataalam wanashauri mfugaji akaushe chakula cha sungura ili asikojoe ovyo na pia kukinga magojwa ya tumbo.

#ufugajiwasungura #sungurawakisasa #rabbitfarming #rabbit #rabbitforsale #rabbitfarm #wauzajiwasungura #tunauzasungura #sungurawanauzwa #hybridrabbits #rabbitkeeping #sungurawakisasa #chakulachasungura #mabandayasungura

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #tanzania #morogoro #tanzania #tanzania🇹🇿 #mwanza #arusha #mbeya #daktariwamifugo #dodoma

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

11 months ago | [YT] | 1

Mifugo Tanzania

TUNAUZA VIFARANGA VYA BROILER, KUKU WA MAYAI, KUKU KIENYEJI100%, KUROILER, TANBRO NA SASSO.

MIKOANI TUNASAFIRISHA PIGA SIMU TUKUHUDUMIE

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

AINA ZA VIFARANGA TULIVYONAVYO:
1. Kuku wa nyama (BROILER)
2. SASSO (Chotara)
3. KUROILER (Chotara)
4. Kuku wa mayai (LAYERS)
5. Kienyeji 100%

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).

Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.

Tunao kuku chotara unaoweza kuwafuga ndani ya week 6 na wakafika uzito wa 1.5Kg

SIFA WA CHOTARA F1

Chotara huchukua muda wa wiki 6 - 7 kufikia kilo 1.5 kama watapatiwa usimamizi sahihi ikiwemo chakula bora.

Hufikia uzito wa zaidi ya kilo 2 kwenye wiki ya 9 na kuendelea. (Ukimfuga kienyeji kwaajili ya nyama)

Jogoo anaweza kufikia uzito wa kilo 4 iwapo atalishwa chakula bora.

Tetea wanaanza kutaga wiki ya 20-23 (miezi mitano -mitano na nusu) na wanaweza kutaga mayai kati ya 220-250 Mara baada ya kuanza kutaga.

Kuku hawa hawaatamii, ila unaweza kuyachukua mayai yaliyo rutubishwa na kuwawekea kuku wa kienyeji au Incubator yakaangulika vema.

Kuku sahihi wa nyama na mayai mwenye kufugika kienyeji.

Gharama za chini kwenye ulishaji, hujitegemea kutafuta chakula

Uwezo mkubwa kupambana na magonjwa

#kukuchotara #chotara #vifarangawakienyeji #tanbro #vifarangawakienyeji #sasso #kuroiler #kukuwanyama #kukuwakuroiler #kukuwakisasa #vifaranga #vifarangachotara #vifarangawamayai #vifarangawasasso #vifarangavyakuroiler

Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: www.joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugajiwakuku #moshi #tanzania #arusha #dodoma #mwanza #tanzania #vifarangawatanbro #tanzania🇹🇿 #morogogoro

JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO

11 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNAUZA NG'OMBE BORA WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE

Call/Text/WhatsApp; +255 712 25 31 02

SIFA ZA NG'OMBE TUNAO WAUZA
-Wapo mitamba wenye mimba ya miezi mitano (5) na kuendelea
- Wapo walio zaa mara 1 au 2 na wana mimba ya miezi mitano (5) na kuendelea
- Uwezo wao wa maziwa ni lita 10 - 20 kwa siku, akizaa (History ya wazazi)
- Aina/Kabila/Breed: Kuna Friesian Aryshire, Jersey, Fleckvien cows, etc

NB:
1. Hatuuzi ndama, wala ng'ombe asiye na mimba.
2. Mtamba au gg'ombe aliyozaaa bei ni moja.
3. Ng'ombe anae kamuliwa bei yake ni tofatuti.

@joackcompany @kilimo_tz @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackvetclinic

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku.

Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo

Aina (breed) za ng'ombe tunao wauza ni Friesian, Aryshire, Jersey, Holstein, Fleckvien cows, nk

Pia wapo ng'ombe tunaowauza wenye uwezo tofauti tofauti wa kutoa maziwa, kuanzia lita 14, 16, 18, 20, 25, 30, 35, 40, 45 au zaidi kwa siku.

Bei ya ng'ombe inategemea uwezo wa ng'ombe kutoa maziwa na kabila.

Friesian ni moja ya kabila la ng'ombe linalotoa maziwa mengi, ukilinganisha na kabila nyingine za ng'ombe.

Ukinunua ng'ombe kwetu, utafundishwa bure, namna bora ya kutunza ng'ombe wa maziwa.

Kwa wateja wa mikoani na Zanzibar mtasafirishiwa ng'ombe kwa gharama nafuu.

#ngombewamaziwa #Friesian #freshiani #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #jersey #ngombewakisasa #wauzajiwangombe #arshire #wauzajiwamifugo #shambalangombe

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #Kilimo #mifugo #ufugaji #tanzania #mbeya #tanga #daressalaam #morogoro #ufugaji #kilimoufugaji #mwanza #arusha #iringa #dodoma #tanzania🇹🇿

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

11 months ago | [YT] | 2

Mifugo Tanzania

TUNAUZA NYAVU ZA PLASTIC KWAJILI YA KUWEKA KWENYE MABANDA YA KUKU • CHICKEN PLASTIC MESH • PLASTIC FILTER MESH • WHITE PLASTIC MESH

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.

CHICKEN PLASTIC MESH hii ni aina ya nyavu ngumu iliyoundwa kwa material ya plastiki. Nyavu hii hutumika kutengenezea sehemu ya chini (floor) ya mababda ya kuku, hasa yale yanayoruhusu mbolea kudondonga chini.

Mfumo huu wa ujenzi kwa kutumia nyavu hizi hupunguza hatari ya magonjwa hasa ya homa ya matumbo na koksidiosis kwa kuku, sungura, nk

Nyavu hizi pia hutumika kutengenezea mabanda ya mifugo minginine kama njiwa, sungura, nk.

Nyavu hizi pia hutumika kutengeneza au kuziba sehemu za madirisha na hudumu kwa muda mrefu maana hazishiki kutu.

#nyavu #vyavuzakuku #vyavuzaplastiki #vyavuzaplastic #chickenwiremesh #chickenplasticmesh #wavu #wavuwaplastiki #wavuzamabandayakuku #wiremesh #plasticfiltermesh #whiteplasticmesh

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

#joackcompany #mayaiyakisasa #mayaiyachotara #kuku #kukuwamayai #layers #kukuchotara #mifugo #mifugotz #kilimotz #tanzania #vifaranga #daressalaam #arusha #dodoma #morogoro #tanzania🇹🇿 #chakulachamifugo

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

11 months ago | [YT] | 1

Mifugo Tanzania

TUNATOA HUDUMA YA UFUNGAJI WA MIFUMO YA MAJI YA KISASA KWAJILI YA KUKU

WE PROVIDE PROPER INSTALLATION OF AUTOMATIC DRINKING SYSTEM FOR POULTRY.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku.

Ofisi zetu DSM na Bagamoyo

JOACK ndio kampuni pekee Tanzania, yenye uwezo mkubwa wa ufungaji wa mifumo ya kisasa ya maji kwenye mabanda ya kuku, na wanyama.

Matumizi ya vyaombo vya maji (manual drinker) kwajili ya kuku huchagia sana kuwepo na changamoto za mabanda ya kuku kuloa maji na kusababisha magojwa kwa kuku mara kwa mara.

Hivi vyaombo vya kawaida huwa vinamwaga sana maji bandani, licha ya hivyo huwa vinasabisha kazi kubwa kwa mfugaji kuvitoa bandani, kuviosha na kuvirudisha bandani kila siku, mfugaji upoteza muda mwingi na hufanya kazi kubwa inayochosha.

Kutokana na changmoto tulizoeleza hapo juu, JOACK tunatoa suluhisho la hizi changmoto kwa kufunga mifumo ya maji ya kunywa ya kisasa kwenye mabanda ya kuku, na huo mfumo utaunganishwa kwenye tank moja tu la maji.

Mfumo huu unampunguzia mkulima kazi maana, mkulima atakuwa na kazi moja tu, ya kujazi maji kwenye tank.

Huu mfumo kwa kingereza unaitwa AUTOMATIC DRINKING SYSTEM FOR POULTRY

Huu mfumo unampunguza changmoto za magojwa kwa kuku, maana unaambatanisha ufungaji wa neeples amabazo humuwezesha kuku kunywa maji bila kuloesha Banda.

#joackautomaticdrinkingsystem #automaticdrinkingsystemforpoultry #automaticdrinkingsystem #mabanda #banda #mabandayakuku #drinker #feeder #mifumoyamajikwenyemabandayakuku #kukuwakisasa #ufugajiwakukukisasa #neeple #automaticdrinker #nipozakuku #magonjwayakuku #kukuwagonjwa #mifumoyamajikwakuku

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

11 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNATOA HUDUMA YA UFUNGAJI WA MIFUMO YA MAJI YA KISASA KWAJILI YA KUKU

WE PROVIDE PROPER INSTALLATION OF AUTOMATIC DRINKING SYSTEM FOR POULTRY.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku.

Ofisi zetu DSM na Bagamoyo

JOACK ndio kampuni pekee Tanzania, yenye uwezo mkubwa wa ufungaji wa mifumo ya kisasa ya maji kwenye mabanda ya kuku, na wanyama.

Matumizi ya vyaombo vya maji (manual drinker) kwajili ya kuku huchagia sana kuwepo na changamoto za mabanda ya kuku kuloa maji na kusababisha magojwa kwa kuku mara kwa mara.

Hivi vyaombo vya kawaida huwa vinamwaga sana maji bandani, licha ya hivyo huwa vinasabisha kazi kubwa kwa mfugaji kuvitoa bandani, kuviosha na kuvirudisha bandani kila siku, mfugaji upoteza muda mwingi na hufanya kazi kubwa inayochosha.

Kutokana na changmoto tulizoeleza hapo juu, JOACK tunatoa suluhisho la hizi changmoto kwa kufunga mifumo ya maji ya kunywa ya kisasa kwenye mabanda ya kuku, na huo mfumo utaunganishwa kwenye tank moja tu la maji.

Mfumo huu unampunguzia mkulima kazi maana, mkulima atakuwa na kazi moja tu, ya kujazi maji kwenye tank.

Huu mfumo kwa kingereza unaitwa AUTOMATIC DRINKING SYSTEM FOR POULTRY

Huu mfumo unampunguza changmoto za magojwa kwa kuku, maana unaambatanisha ufungaji wa neeples amabazo humuwezesha kuku kunywa maji bila kuloesha Banda.

#joackautomaticdrinkingsystem #automaticdrinkingsystemforpoultry #automaticdrinkingsystem #mabanda #banda #mabandayakuku #drinker #feeder #mifumoyamajikwenyemabandayakuku #kukuwakisasa #ufugajiwakukukisasa #neeple #automaticdrinker #nipozakuku #magonjwayakuku #kukuwagonjwa #mifumoyamajikwakuku

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

11 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNAUZA VYOMBO VYA KISASA VYA KUNYWEA MAJI NG'OMBE, FARASI, PUNDA, NK | COW AUTOMATIC DRINKER

Automatic Animal Water Trough | Automatic Cattle Water Trough

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Tupo wazi kila siku kuanzia, saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Automatic Cattle Water Trough ni chombo maalum unachoweza kuunga kwenye mfumo waji na kutumika kwajili ya kunyweshea maji mifugo.

Hiki chombo unaunganisha moja kwa moja kwenye tank au mfumo wowote wa maji na maji yatakuwa yanaingia moja kwa moja kwenye hiki chombo.

Hiki chombo kina water switch system ambayo inafunga maji automatically yanapo jaaa, hivyo hayawezi kumwagika bandani.

Hiki chombo kinaweza kujaza maji Lita 2 kwa mara moja

Ng'ombe anahitaji maji “safi” na ya kutosha ili aweze kula, kupooza mwili na kua na afya.

Ukifunga Automatic Cattle Water Trough utahakikisha wanyama wako wanapata maji safi kutoka kwenye source moja kwa moja.

Ukiweka maji kwenye vyombo wale ng'ombe huyakanyaga na kukojolea n.k mara zote utayakuta machafu na kufanya wasinywe hivyo kupunguza ulaji pia.

Faida ya kutumia huu mfumo ni kwamba unapunguza hatari ya magonjwa kwa kiasi kikubwa.

#AutomaticCattleWaterTrough #cow #ngombe #ufugajiwangombe #vyombovyamajivyangombe #mabandayangombe #dairyfarming #nipozangombe #neeples #cowdrinker #ngombewakisasa #livestocktools #chakulachangombe #chanjozangombe #CattleDrinker

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #kilimo #mifugotz #mifugo #vifaavyamifugo #madawayamifugo #ufugaji #daressalaam #morogoro #tanzania #dodoma #mwanza #arusha #daktariwamifugo #tanzania🇹🇿

JOACK Company LTD | BAGAMOYO & DSM

11 months ago | [YT] | 0

Mifugo Tanzania

TUNAUZA MATENGA YA KUBEBEA KUKU WAKUBWA NA WANYAMA WADOGO KAMA SUNGURA, PAKA, MBWA WADOGO, NK

WE ARE SELLING PLASTIC TRANSPORT CRATE

VIPIMO VYA PLASTIC TRANSPORT CRATE:
Urefu: 75cm, Upana: 55cm na kimo: 27cm

WhatsApp/Call/Text: +255 712 25 31 02

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es es salaam na Bagamoyo

Plastic Transport Crate ni plastic zinazotumika kubebea kuku wakubwa, sungura, mbwa, na wanyama wengine wa saizi ya kati kutoka eneo moja kwenda eneo lingine.

Hizi crate mara nyingi hutumika kusafishia kuku wa nyama (broiler) kutoka eneo Moja kwenda eneo jinginge.

Uzuri wa hizi crate ni kwamba zina matundu ya kutosha ambayo ni maalumu kwajili ya kupitisha hewa.

Hizi plastic unaweza kuzipanga kwa kwenda juu ukiwa umeweka kuku wakubwa wako ndani, na wanafika salama.

Uzuri wa hizi plastic hazisabishi stress kwa kuku na zinazuia usaambaaji au mlipuko wa magonjwa.

Hizi plastic create ni imara sana, unaweza kuzitumia zaidi ya miaka kumi (10) bila kuwa na changamoto yoyote.

Lakini kingine hizi crate zinaosheka kirahisi.

#plastictransportcrate #transportcrate #traizakubebeakukuwakubwa #plastikizakukuwakubwa #matengayakuku #plasticzakubebeakuku #matengayakubebeakuku #kukuwakubwa #plasticchickencrate #chickencrate #plasticcrate #matengayaplastiki #usafirishajiwakuku #kuku #usafirishajiwabroiler

Office zetu zipo @TegetaWazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #mifugo #kilimo #dukalamifugo #dodoma #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #tanzania🇹🇿 #vifaavyamifugo #poultryequipments #kukuwanyama #broiler #kukuwamayai

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

11 months ago | [YT] | 0