This is my Official YouTube Channel.Welcome to watch music videos, my studio/stage performance videos, behind the scenes footage, listen to new music and more.
Ni maombi yetu na ni shauku ya mioyo yetu kumuona Mungu akituhudumia, tunatamani "kumuona Mungu akihudumia watu wake". Endelea kuiombea ibada hii na nitafurahi sana kukuona Octoba14.
Tickets zinapatikana online kupitia Timetickets.co.tz, Only for Tsh5000/= au waweza bonyeza link ifuatayo ikupeleke moja kwa moja.
Habari rafiki, Mimi pamoja na team "Halisi Ministry" kwa kushirikiana na kamati ya maandalizi, tunapenda kukukaribisha kushiriki kwa sadaka yako ya upendo kufanikisha ibada hii.
"Wana wa Israeli wakaleta sadaka za kumpa BWANA kwa moyo wa kupenda; wote, waume kwa wake, ambao mioyo yao iliwafanya kuwa wapenda kuleta kwa hiyo kazi, ambayo BWANA aliamuru ifanywe kwa mkono wa Musa." Kutoka 35:29
Yeye aliye Chanzo ametupa neema ya kuandaa ibada #OctobaMosi mwaka huu, Kipekee ninakukaribisha ili kwa pamoja tumfanyie Mungu wetu aliye Halisi ibada ya kumpendeza!
Rehema Simfukwe
https://youtu.be/BVh3JaU6yP0
2 years ago | [YT] | 517
View 13 replies
Rehema Simfukwe
Haya ni Maombi Yangu Kwako
Wote Ninaowapenda Wasipitwe
Na Neema Yako @rehemasimfukwe
#neemayako
2 years ago | [YT] | 46
View 1 reply
Rehema Simfukwe
Mungu Akisema Ndio Nani Akatae
3 years ago | [YT] | 49
View 2 replies
Rehema Simfukwe
Ni maombi yetu na ni shauku ya mioyo yetu kumuona Mungu akituhudumia, tunatamani "kumuona Mungu akihudumia watu wake". Endelea kuiombea ibada hii na nitafurahi sana kukuona Octoba14.
Tickets zinapatikana online kupitia Timetickets.co.tz, Only for Tsh5000/= au waweza bonyeza link ifuatayo ikupeleke moja kwa moja.
app.timetickets.co.tz/chanzo-liverecording
#HalisiLiveWorshipExperience
#CHANZOLIVERecordingAlbam
#14October2021
#UbungoPlaza
4 years ago | [YT] | 153
View 6 replies
Rehema Simfukwe
Habari rafiki, Mimi pamoja na team "Halisi Ministry" kwa kushirikiana na kamati ya maandalizi, tunapenda kukukaribisha kushiriki kwa sadaka yako ya upendo kufanikisha ibada hii.
Mungu na akubariki kipekee!
Unaweza kutuma sadaka yako kupitia namba;
TigoPesa: 0713469779 Jina: Rehema Simfukwe
Mpesa: 0765519586 Jina: Rehema Simfukwe
"Wana wa Israeli wakaleta sadaka za kumpa BWANA kwa moyo wa kupenda; wote, waume kwa wake, ambao mioyo yao iliwafanya kuwa wapenda kuleta kwa hiyo kazi, ambayo BWANA aliamuru ifanywe kwa mkono wa Musa." Kutoka 35:29
#HalisiLiveWorshipExperoence
#CHANZoLiveRecording
#Octoba2021
4 years ago | [YT] | 148
View 3 replies
Rehema Simfukwe
Shalom Fam
Yeye aliye Chanzo ametupa neema ya kuandaa ibada #OctobaMosi mwaka huu, Kipekee ninakukaribisha ili kwa pamoja tumfanyie Mungu wetu aliye Halisi ibada ya kumpendeza!
🎼SaveTheDate🎼
#01_October_2021
#LiveRecording
#ChanzoAlbamRec
#HalisiWorshipExperience
4 years ago | [YT] | 165
View 8 replies