USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR



USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Ukawe mwezi wa baraka na mafanikio kwa kila mwanafamilia

2 weeks ago |[YT] | 22

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Tunamshuru Mungu kwa ajiri ya albam yetu hii.
Sasa tunafunga ukurasa huu na kufungua safari nyingine ya baraka Zaidi πŸ™πŸ™πŸ™

2 weeks ago |[YT] | 25

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Ule Wimbo wa kuvukia nusu mwaka
Wimbo pendwa MUNGU AKIWA UPANDE WETU 🎢🎡🎡
Utapatikana YouTube hivi karibuni
Stay Tuned Please πŸŽΆπŸŽ΅πŸ™
www.instagram.com/p/DaOI9_cMoTe/?igsh=MW51Mm10ZjFj…

3 months ago |[YT] | 30

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Bwana Yesu asifiwee
Tukiwa tumebakiwa na siku chache kufikia #ban2026πŸ”₯
Tupate baraka kwa Wimbo huu
🎢Mimi na nyumba Yangu tutamtumikia Bwana Maana yeye amefanya ishara kubwa mbele ya macho yetu πŸ”₯πŸ”₯πŸ™

4 months ago (edited) |[YT] | 43

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

MUNGU ametupendelea πŸ™

8 months ago |[YT] | 35

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Shalom wapendwa katika BWANA.. Kwa Neema ya Mungu tunatarajia kufanya Ibada kubwa tarehe 29 MAY 2026 itakayoambatana na Live Recording. Tunapenda kuwakaribisha katika Ibada hii pamoja na kutuunga mkono kwa sadaka kufanikisha Ibada hii. πŸ™πŸ™

11 months ago |[YT] | 17

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Get ready for new video release πŸ”₯πŸ”₯

1 year ago |[YT] | 36

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Karibuni nyote katika Ibada hii ya Night of preparation ni Jumamosi hii πŸ”₯πŸ”₯

1 year ago (edited) |[YT] | 19