KARIBU IMANI YETU MEDIA
Hii ni channel inayolenga kueneza neno la mungu,Mafundisho kiroho,Mahubiri ya kujenga imani,Nyimbo zainjili na ushuhuda wa maisha. Tunakusogezea maudhui ya kukutia moyo,kukuimarisha,kiroho na kukureta karibu zaidi na kristo.
Tazama Ibada Mubashara
Sikiliza mafundisho ya wachungaji na wahubiri mbalimbali
Jifunze kupitia mistari Biblia
IMANI YETU MEDIA
MKUTANO WA MIUJIZA NA UPONYAJI 2026
Mungu bado anaponya, anainua na anafanya miujiza
16–20 SEPTEMBA 2026
Viwanja vya Kasikizi Senta
Semina • Maombi • Miujiza • Uponyaji
🔴 Fuatilia LIVE kupitia IMANI YETU MEDIA 🎥
❤️ LIKE | 🔄 SHARE | 🔔 SUBSCRIBE
Mwalike ndugu na rafiki—huenda huu ukawa mwanzo wa ushuhuda wako
#MkutanoWaMiujiza #MiujizaNaUponyaji #ImaniYetuMedia
1 week ago | [YT] | 7
View 3 replies
IMANI YETU MEDIA
📖 Yohana 4:24
“Mungu ni Roho; nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
👉 Je, unamwabudu Mungu kwa moyo wako wote—katika roho na kweli—au ni kwa desturi tu?
Tuandikie 👇
8 months ago | [YT] | 4
View 2 replies
IMANI YETU MEDIA
“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.”
📖 Mithali 3:5
❓ Je, katika maamuzi ya maisha yako, unamwamini Bwana kwa moyo wote au bado unategemea zaidi akili zako mwenyewe?
8 months ago | [YT] | 14
View 6 replies
IMANI YETU MEDIA
“Simama imara, usitikisike.” 💪🔥
— 1 Wakorintho 16:13
🔥 Kijana wa Mungu, imani yako ni msingi wako.
Dunia inaweza kuyumbisha, lakini Neno la Mungu linakuimarisha.
👉 Ni jambo gani linajaribu kuyumbisha imani yako kwa sasa?
Tuandikie 👇
#VijanaWaMungu #ImaniYetuMedia #NenoLaMungu #FaithLife #SimamaImara
8 months ago | [YT] | 10
View 5 replies
IMANI YETU MEDIA
🙏 Karibuni sana Imani Yetu Media Community
Hapa tutashirikiana neno la Mungu, faraja, na mafundisho ya kujenga imani.
📖 Je, ungependa kuona nini zaidi hapa?
1️⃣ Mafundisho
2️⃣ Neno la kutia moyo
3️⃣ Ibada & Praise
0618477909
8 months ago | [YT] | 7
View 3 replies
IMANI YETU MEDIA
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi… mawazo ya amani.”
📖 Yeremia 29:11
8 months ago | [YT] | 11
View 5 replies