TANZIA INNA LILLAH WAINNAH ILLAH RAAJIUNA
SHEIKH: JABIR HAYDAR JABIR AL FARSY AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO MAZIKO YATAKUWA KESHO BAADA YA SALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA IJUMAA MALINDI
TANZIA.
MKURUGENZI WA IDARA YA MAWASILIANO IKULU YA ZANZIBAR NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO MEI 11\2025
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 7,2024 amefanya ziara ya kikazi mkoani Katavi ambapo katika ziara hiyo amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko na baadaye kukutana na Kamati ya usalama ya Mkoa huo na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu hali ya usalama ya mkoa huo. Picha na Jeshi la Polisi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi tayari amewasili Pemba kuwaongoza Mashabiki wa Soka wa Zanzibar kushuhudia mchezo wa Fainali wa Michuano ya Yamle Yamle.
Fainali hiyo ya sita itachezwa leo tarehe 14 Sept 2024 katika Uwanja wa Gombani majira ya saa kumi jioni utazikutanisha timu za Ponchiki City na Wete City zote za Wete ,Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Alipowasili Uwanja wa ndege Rais Dk.Mwinyi amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi, Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Mattar Zahor Masoud.
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza
kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika
kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa
na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana
majina yao.
Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia
vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo John Mnyika.
Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza
uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina
nani.
Imetolewa na:
David A. Misime – DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.
IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.

ZINJIBAR TV
TANZIA INNA LILLAH WAINNAH ILLAH RAAJIUNA SHEIKH: JABIR HAYDAR JABIR AL FARSY AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO MAZIKO YATAKUWA KESHO BAADA YA SALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA IJUMAA MALINDI
1 year ago | [YT] | 17
View 1 reply
ZINJIBAR TV
1 year ago | [YT] | 33
View 1 reply
ZINJIBAR TV
TANZIA. MKURUGENZI WA IDARA YA MAWASILIANO IKULU YA ZANZIBAR NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO MEI 11\2025
1 year ago | [YT] | 10
View 2 replies
ZINJIBAR TV
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 7,2024 amefanya ziara ya kikazi mkoani Katavi ambapo katika ziara hiyo amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko na baadaye kukutana na Kamati ya usalama ya Mkoa huo na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu hali ya usalama ya mkoa huo. Picha na Jeshi la Polisi
1 year ago | [YT] | 16
View 0 replies
ZINJIBAR TV
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi tayari amewasili Pemba kuwaongoza Mashabiki wa Soka wa Zanzibar kushuhudia mchezo wa Fainali wa Michuano ya Yamle Yamle.
Fainali hiyo ya sita itachezwa leo tarehe 14 Sept 2024 katika Uwanja wa Gombani majira ya saa kumi jioni utazikutanisha timu za Ponchiki City na Wete City zote za Wete ,Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Alipowasili Uwanja wa ndege Rais Dk.Mwinyi amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi, Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Mattar Zahor Masoud.
1 year ago | [YT] | 31
View 0 replies
ZINJIBAR TV
TAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza
kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika
kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa
na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana
majina yao.
Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia
vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo John Mnyika.
Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza
uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina
nani.
Imetolewa na:
David A. Misime – DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
1 year ago | [YT] | 19
View 0 replies
ZINJIBAR TV
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.
IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.
1 year ago | [YT] | 14

USIKOSE KUFUATILIA KACHUMBARI LEO SAA 02:00 USIKU
3 years ago | [YT] | 6
View 0 replies
ZINJIBAR TV
3 years ago | [YT] | 18
View 0 replies
Load more