Karibu kwenye DEKANTO BASS โ sehemu sahihi ya kujifunza kupiga Bass Guitar kwa urahisi na ubora wa hali ya juu!
Channel hii imejikita katika kutoa mafunzo ya kitaalamu ya gitaa la besi kuanzia kwa wanaoanza hadi wale wa kiwango cha juu. Utajifunza mbinu mbalimbali za kupiga bass katika mitindo tofauti ya muziki wa Afrika na duniani kwa ujumla.
Hapa utapata masomo ya:
๐ธ Sebene Bass (Congolese style)
๐ธ Rhumba Bass
๐ธ Zouk & Zouk Love Bass
๐ธ Makossa & Afro Groove
๐ธ Funk, Reggae & Gospel Bass
๐ธ Scales, Techniques & Bass Exercises
Kupitia channel hii, utaweza:
โ๏ธ Kuboresha groove yako
โ๏ธ Kujifunza bass lines rahisi hadi ngumu
โ๏ธ Kuelewa music theory kwa urahisi
โ๏ธ Kuwa na confidence unapopiga bass
๐
Ratiba ya Masomo:
Video mpya zinatoka kila Jumatano na Jumamosi kabla ya saa 6 mchana
๐ Masomo yanapatikana kwa lugha tofauti:
Swahili | English | Franรงais
๐ Subscribe sasa ili usikose mafunzo mapya na kuboresha kiwango chako cha kupiga Bass Guitar kila siku!