🌟 Tunakuletea nyongeza yetu mpya zaidi kwa familia ya Twiga Cement, Telvin Mwabulambo!
🌟 Telvin anaingia katika jukumu la AFISA WA AFYA NA USALAMA, akileta utaalamu na shauku yake ya kuunda mazingira salama na yenye afya ya kazi.
🎓 Telvin ana Shahada ya Kwanza katika USIMAMIZI WA MIFUMO YA AFYA, na hivyo kumfanya kuwa nyenzo muhimu kwa timu yetu ya Afya na Usalama. Kujitolea kwake na bidii yake ilionekana wakati wa mafunzo yake na sisi, na kumfanya anafaa kikamilifu kwa jukumu hili muhimu.
👷♂️ Tunapoangazia ustawi wa washiriki wa timu yetu, Telvin atachukua jukumu muhimu katika kuhakikisha kwamba hatua za usalama ni za hali ya juu, na viwango vya afya vinatimizwa katika nyanja zote za shughuli zetu.
👏 Tumkaribishe Telvin kwa mikono miwili na kumpongeza kwa nafasi hii anayostahili!
🎉 Tunatazamia kufikia viwango vipya pamoja katika kudumisha mahali pa kazi salama na kiafya kwa kila mtu.
🎊 Tunapouanza Mwaka huu Mpya, Telvin na familia nzima ya Twiga tunatuma salamu zetu za kheri kwako na kwako. Mei 2024 ujazwe na mafanikio, afya njema, na ustawi.
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.
Pia tunatoa huduma ya ujenzi wa bwawa mabwawa ya samaki.
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa mabwawa ya samaki. Jinsi ya ujenzi unategemea aina ya bwawa unalopendekeza kulingana na eneo lako ukizingatia aina ya udongo na chanzo cha maji.
AINA TATU (3) ZA MABWAWA YA SAMAKI
1. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea "Earthen Pond" ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo(Mfinyanzi) unaruhusu kutuwamisha maji.
Mara nyingi kuta zake hushindiliwa na kupandwa nyasi ili kupunguza nguvu ya maji kasababisha mmomonyoko wa udongo.
2. Bwawa la kutumia karatasi za plastiki.
Hapa unafanyika uchimbaji wa Bwawa kwenye aridhi bila kujengea kisha linatandikwa Karatasi la "Nylon"/"Polythene sheet" ili kuzuia maji yasipotee ardhini.
3. Bwawa la kuchimba udongo na kujengea kwa Matofali, simenti na Zege. Aina hii ya bwawa inaitwa "Concrete Fish Pond".
Zipo aina mbili za concrete fish pond. A. Earthern concrete pond hii ni aina mambayo ujenzi wake unafanyika kwa kwenda chini ya aridhi, yaani ni kuchimba na kujenga.
B. Raised Conrete Pond hii ni aina ambayo ujenzi wake unafanyika kwa kwenda juu ya aridhi.
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
TUNAUZA TREI ZA KUOTESHEA MBEGU WE ARE SELLING NUSERY TRAY SEEDLING TRAY
Tuna Trai za matundu 72, 105, 128 na 200, Angalia bei zetu za matrei kulingana na idadi yamatundu
Matundu 72 Bei 1,500 (jumla Min Pc 100) Matundu 105 Bei 1,900 (jumla Min Pc 100) Matundu 128 Bei 2,300 (jumla Min Pc 100) Matundu. 200 Bei 2,500 (jumla Min Pc 100)
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Tegeta Wazohill
🌟 Tunakuletea nyongeza yetu mpya zaidi kwa familia ya Twiga Cement, Telvin Mwabulambo!
🌟 Telvin anaingia katika jukumu la AFISA WA AFYA NA USALAMA, akileta utaalamu na shauku yake ya kuunda mazingira salama na yenye afya ya kazi.
🎓 Telvin ana Shahada ya Kwanza katika USIMAMIZI WA MIFUMO YA AFYA, na hivyo kumfanya kuwa nyenzo muhimu kwa timu yetu ya Afya na Usalama. Kujitolea kwake na bidii yake ilionekana wakati wa mafunzo yake na sisi, na kumfanya anafaa kikamilifu kwa jukumu hili muhimu.
👷♂️ Tunapoangazia ustawi wa washiriki wa timu yetu, Telvin atachukua jukumu muhimu katika kuhakikisha kwamba hatua za usalama ni za hali ya juu, na viwango vya afya vinatimizwa katika nyanja zote za shughuli zetu.
👏 Tumkaribishe Telvin kwa mikono miwili na kumpongeza kwa nafasi hii anayostahili!
🎉 Tunatazamia kufikia viwango vipya pamoja katika kudumisha mahali pa kazi salama na kiafya kwa kila mtu.
🎊 Tunapouanza Mwaka huu Mpya, Telvin na familia nzima ya Twiga tunatuma salamu zetu za kheri kwako na kwako. Mei 2024 ujazwe na mafanikio, afya njema, na ustawi.
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.
#twigacementplus #twigacement #heidelberg #heidelbergcement #heidelbergcementgroup #cement #tegeta #wazo #wazohill #wazohillsecondaryschool #wazohilltwigacement #wazokisanga #madale #twigaclub #wazomagengeni #tanzania🇹🇿 #tanzania #kinondoni #dsm #daressalaam #kibocomplex #tegetakwandevu #tegetanyuki #nyuki #tegetakibaoni #tegetamasaiti #boko #bunju #mzeekiwia
2 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
Tegeta Wazohill
TUNAUZA BLACK PLASTIC POLYTHENE SHEET DAMP PROOFF | NYLON SHEET KWAJILI YA MABWAWA YA SAMAKI
Zipo za unene tofauti (thickens), bei inategemea thickness:-
Thickness = 0.5mm
Thickness = 0.75mm
Thickness = 1mm
Pia tunatoa huduma ya ujenzi wa bwawa mabwawa ya samaki.
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa mabwawa ya samaki. Jinsi ya ujenzi unategemea aina ya bwawa unalopendekeza kulingana na eneo lako ukizingatia aina ya udongo na chanzo cha maji.
AINA TATU (3) ZA MABWAWA YA SAMAKI
1. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea "Earthen Pond" ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo(Mfinyanzi) unaruhusu kutuwamisha maji.
Mara nyingi kuta zake hushindiliwa na kupandwa nyasi ili kupunguza nguvu ya maji kasababisha mmomonyoko wa udongo.
2. Bwawa la kutumia karatasi za plastiki.
Hapa unafanyika uchimbaji wa Bwawa kwenye aridhi bila kujengea kisha linatandikwa Karatasi la "Nylon"/"Polythene sheet" ili kuzuia maji yasipotee ardhini.
3. Bwawa la kuchimba udongo na kujengea kwa Matofali, simenti na Zege. Aina hii ya bwawa inaitwa "Concrete Fish Pond".
Zipo aina mbili za concrete fish pond.
A. Earthern concrete pond hii ni aina mambayo ujenzi wake unafanyika kwa kwenda chini ya aridhi, yaani ni kuchimba na kujenga.
B. Raised Conrete Pond hii ni aina ambayo ujenzi wake unafanyika kwa kwenda juu ya aridhi.
#samaki #fish #ufugajiwasamaki #samakiwanaofugwa #ainazasamaki #bwawa #mabwawayasamaki #bwawalasamaki #ujenziwamabwawayasamaki #fishpond #fishpondcontruction #vifarangawasamaki #chakulachasamaki #pondliner #polythenesheet #makaratasiyamabwawa
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
joackagrovet@gmail.com
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #kilimotz #kilimo #mifugo #morogoro #tanzania #arusha #mbeya #kilimanjaro #dodoma #mwanza #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Tegeta Wazohill
TUNAUZA TREI ZA KUOTESHEA MBEGU WE ARE SELLING NUSERY TRAY SEEDLING TRAY
Tuna Trai za matundu 72, 105, 128 na 200, Angalia bei zetu za matrei kulingana na idadi yamatundu
Matundu 72 Bei 1,500 (jumla Min Pc 100)
Matundu 105 Bei 1,900 (jumla Min Pc 100)
Matundu 128 Bei 2,300 (jumla Min Pc 100)
Matundu. 200 Bei 2,500 (jumla Min Pc 100)
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
Hizi trei zina matundu 72, 105, 128 na 200 ni trei ngumu na haziharibiki kirahisi na mwanga wa jua.
Tumia hizi tray kuotesha #mbegu ili kupata matokeo makubwa
Tray hizi zinatumika kuotesha #mbegu na zikisha ota na kuwa #miche huaamishiwa #shambani #kitaluni
Tray hizi zinapatikana ofisini kwetu Dar es salaam, lakini pia watu wa mikoani tunawatumia.
#trayzakupandiamiche #miche micheyanyanya #micheyambogamboga #kilimochakisasa #nyanya #dukalakilimo #seedtray #seedlings #seedlingtray #plantingtray #treizakupandia #trayzakupandia
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
kilimotz3@gmail.com
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: joackcompany.business.site/
Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #Kilimotz #mbogamboga #tanzania #kilimo #tanzania #papai #daressalaam #morogoro #tikiti #karoti #piripiri #dodoma #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Tegeta Wazohill
NUKUU YA LEO KUTOKA KWA TEBA MWAKATEBA AKA FARU HERIETI
"C kwa nguvu zang, Wala kwa akiri yangu, ila ni kwa neema za Mungu tu"
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.
#twigacementplus #twigacement #heidelberg #heidelbergcement #heidelbergcementgroup #cement #tegeta #wazo #wazohill #wazohillsecondaryschool #wazohilltwigacement #wazokisanga #madale #twigaclub #wazomagengeni #tanzania🇹🇿 #tanzania #kinondoni #dsm #daressalaam #kibocomplex #tegetakwandevu #tegetanyuki #nyuki #tegetakibaoni #tegetamasaiti #boko #bunju #mivumoni
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies