ARTIST DJ | ENTERTAINMENT INDUSTRY.
Call/WhatsApp: +255 658 164282
Email: djchoka@gmail.com


DJ CHOKA

TOA ODA YAKO SASA
- T-shirt - 25,000/=
- Kofia - 25,000/=
- Kikombe - 20,000/=

Call/WhatsApp: +255 658 164282

#RomboYetu πŸ”₯
#RomboBOY

1 week ago | [YT] | 5

DJ CHOKA

Barabara ya muziki imejengwa na wengi lakini #DJCHOKA @ankochoka jina lake lipo zaidi ya miaka 20 katika game, Leo @showtimerfa ya @radiofreeafrica tunampa heshima na maua yake kuanzia 2pm - 4pm

HOSTED: @franckietower na @adamjerome_
ARTWORK: @kanzaboy1

#SupportedByDJChoka
#MdauWaBURUDANI
#AnkoCHOKA
#DJChoka

1 month ago | [YT] | 9

DJ CHOKA

Ndani ya MJINI FM kwenye kipindi Cha THE INDUSTRY

2 months ago | [YT] | 4

DJ CHOKA

Ndani ya EAST AFRICA RADIO kwenye kipindi Cha Planet Bongo

2 months ago | [YT] | 4

DJ CHOKA

NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's

Hao unaowaona kwenye picha MNATO ni @pipidoreen pamoja na MOPAO @barnabaclassic nilikutana nao NJIA PANDA kama unavyoona huo muda ambao picha ilipigwa ilikuwa ni mida MIBOVU pande za Masaki tulikutana 😁

#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 1

DJ CHOKA

NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's

Huyo mnayemuona nimepiga nae picha ni dada yangu kipenzi since day UNO anaitwa @rayctanzania πŸ₯° miss you so much sister hebu upange siku ya kuja huko nimuone Anko wangu πŸ™

#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 2

DJ CHOKA

NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's KUTOKEA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ

Huyo mnayemuona nimepiga nae picha anaitwa β€ͺ@theavieway‬ na hapo ilikuwa mwaka 2009 ambapo nilikutana na Avril KUNDUCHI BEACH alipokuja Tanzania kwa ajili ya maswala ya mziki na kufanya wimbo wa AY - LEO REMIX

#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 2

DJ CHOKA

NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's

Ukiitoa team yangu ya @simbasctanzania timu nyingine ninayoipenda na yenye RANGI nzuri ya JEZI zao ni @officialmbeyacityfc πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Kwenye picha hii ya MNATO ya mwaka 2016 nilikuwa na MDOGO wangu kipenzi wanamuita @hamisamobetto


#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 1

DJ CHOKA

Kwenye hii picha MNATO nipo na DADA zake CHOKA yaani nipo na @queendarleen_ pamoja na @kajalafrida 😁😁

Hii siku tulikutana pale MBALAMWEZI BEACH kwenye Birthday ya dada yetu Neema Chande Mimi nilikuwa MC wa party hiyo 🍻


#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 1

DJ CHOKA

NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's

Hiyo picha hapo pembeni yangu mwenye KOFIA nyeupe ni @chino_kidd7 na mwenye black Tshet ni @richmavoko

Tuliipiga hii picha pale MSAVU MOROGORO ambapo tulisimama na wasanii ili kupata SUPU na kuendelea na safari ya kuelekea DODOMA kwenye KILI MUSIC AWARDS TOUR 2014.

#DJChoka
#TBTzaDJChoka πŸ”₯
#MdauWaBURUDANI πŸ’ͺ

7 months ago | [YT] | 1