Hao unaowaona kwenye picha MNATO ni @pipidoreen pamoja na MOPAO @barnabaclassic nilikutana nao NJIA PANDA kama unavyoona huo muda ambao picha ilipigwa ilikuwa ni mida MIBOVU pande za Masaki tulikutana π
Huyo mnayemuona nimepiga nae picha ni dada yangu kipenzi since day UNO anaitwa @rayctanzania π₯° miss you so much sister hebu upange siku ya kuja huko nimuone Anko wangu π
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's KUTOKEA KENYA π°πͺ
Huyo mnayemuona nimepiga nae picha anaitwa βͺ@theaviewayβ¬ na hapo ilikuwa mwaka 2009 ambapo nilikutana na Avril KUNDUCHI BEACH alipokuja Tanzania kwa ajili ya maswala ya mziki na kufanya wimbo wa AY - LEO REMIX
Hiyo picha hapo pembeni yangu mwenye KOFIA nyeupe ni @chino_kidd7 na mwenye black Tshet ni @richmavoko
Tuliipiga hii picha pale MSAVU MOROGORO ambapo tulisimama na wasanii ili kupata SUPU na kuendelea na safari ya kuelekea DODOMA kwenye KILI MUSIC AWARDS TOUR 2014.
Huyu niliyepiga nae picha hapo anaitwa @elizabethmichaelofficial ni mdogo wangu KABISAAAA since day 1 akitangaza kipindi Cha WATOTO SHOW pale ITV ππ
Sasa picha hii tuliipiga pale Coco Beach kulikuwa na Tamasha lililokuwa likiitwa WAHAPAHAPA π₯ sasa hivi toka ameolewa na kaka yangu @majizzo nikashindwa nimuite nani kati ya Shemeji au Mdogo wangu ππ KIKUBWA UZIMA UWEPO π
Picha hizi za MNATO nilipiga na kaka yangu @afandesele1976 na @aytanzania pale ARUSHA 2007 kwenye uzinduzi wa Album ya ALUTA KONTINUA ya kaka mkubwa @professorjaytz π₯
Na hapo tulikuwa nyumbani kwa dada yangu @nakaayasumari alitualika kwenda kupata Moja mbili tatu kabla ya kuelekea kwenye Sound Check pale Triple A.
Huyu niliyepiga nae picha hapo ni JAY Z wa MBEYA anaitwa @izzo_bizness_mbeya π hapo mnapotuona tulikuwa SERENA HOTEL tulialikwa kwenye party ya THE MBONI SHOW ilikuwa inazinduliwa msimu mpya.
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's

#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 1
View 0 replies

2 months ago | [YT] | 2
View 1 reply

Ukiitoa team yangu ya @simbasctanzania timu nyingine ninayoipenda na yenye RANGI nzuri ya JEZI zao ni @officialmbeyacityfc π₯π₯π₯
Kwenye picha hii ya MNATO ya mwaka 2016 nilikuwa na MDOGO wangu kipenzi wanamuita @hamisamobetto
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
DJ CHOKA
Kwenye hii picha MNATO nipo na DADA zake CHOKA yaani nipo na @queendarleen_ pamoja na @kajalafrida ππ
Hii siku tulikutana pale MBALAMWEZI BEACH kwenye Birthday ya dada yetu Neema Chande Mimi nilikuwa MC wa party hiyo π»
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's
Hiyo picha hapo pembeni yangu mwenye KOFIA nyeupe ni @chino_kidd7 na mwenye black Tshet ni @richmavoko
Tuliipiga hii picha pale MSAVU MOROGORO ambapo tulisimama na wasanii ili kupata SUPU na kuendelea na safari ya kuelekea DODOMA kwenye KILI MUSIC AWARDS TOUR 2014.
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's
Huyu niliyepiga nae picha hapo anaitwa @elizabethmichaelofficial ni mdogo wangu KABISAAAA since day 1 akitangaza kipindi Cha WATOTO SHOW pale ITV ππ
Sasa picha hii tuliipiga pale Coco Beach kulikuwa na Tamasha lililokuwa likiitwa WAHAPAHAPA π₯ sasa hivi toka ameolewa na kaka yangu @majizzo nikashindwa nimuite nani kati ya Shemeji au Mdogo wangu ππ KIKUBWA UZIMA UWEPO π
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's
Picha hizi za MNATO nilipiga na kaka yangu @afandesele1976 na @aytanzania pale ARUSHA 2007 kwenye uzinduzi wa Album ya ALUTA KONTINUA ya kaka mkubwa @professorjaytz π₯
Na hapo tulikuwa nyumbani kwa dada yangu @nakaayasumari alitualika kwenda kupata Moja mbili tatu kabla ya kuelekea kwenye Sound Check pale Triple A.
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's
Kwenye kumbukumbu hii ya picha MNATOA nilikuwa na kaka zangu pande za MOROGORO.
Je mmewatambua nani na nani hapo?
#DJChoka
#TBTzaDJChoka π₯
#MdauWaBURUDANI πͺ
2 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
DJ CHOKA
NAWAKUMBUSHA TU WATOTO WA 2000's
Huyu niliyepiga nae picha hapo ni JAY Z wa MBEYA anaitwa @izzo_bizness_mbeya π hapo mnapotuona tulikuwa SERENA HOTEL tulialikwa kwenye party ya THE MBONI SHOW ilikuwa inazinduliwa msimu mpya.
3 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Load more