star wa muziki Kutoka Kenya, KRG THE DONE Wakati akiwa pamoja na waandishi wa habari amefunguka kuhusiana na uwezo wa fedha alionao kwasasa ambapo kwa maelezo yake amesema kuwa
Kwa pesa alizonazo anauwezo wa kuinunua Tanzania pamoja na watu wake pia anauwezo wa kuwanunua wasanii wote wa Tanzania akiwemo Diamond Platnumz pamoja na Wanafunzi wake pia hata yule Mdogo aliyesajiriwa Juzi .." amesema KRG The done 😂😂
Muigizaji Wa bongo move pia na Mwimbaji kutoka Tanzania, Hemedy, wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari amefunguka kuhusiana mapenzi yalivyomfanya kubadili Dini kisa Mama mkwe kwa nia ya kumpata Binti
" Kunasiku nilimpenda Binti ambapo kipindi hicho nilikuwa Muuni tena Navaa Heleni , sasa Kunabinti mmoja Alikuwa ananipenda na Mama yake Alimwambia Anihitaji kwasababu ya Uhuni wangu ambapo mama yake ni Mtu wa Dini Sana na Kila siku alikuwa anaenda kanisani
" pia baada ya Binti kuambiwa hivyo alinifwata sasa siku hiyo nilienda saluni nikaweka nywele vizuri then Nikazipa masikio kwasababu yakuvaa heleni .."
Hivyo ilivyofika jpili nilienda kanisa lile lile analosali na alivyoniona akawa haamini.. " Amesema Hemedy
Mzee abdul amefunguka kuhusiana na Maisha ambayo anaishi Diamond Platnumz pamoja na mama yake,
Kwa maelezo ya mzazi huyo amesema kuwa,
" Mpaka sasa Anayatazama Mpaka Mwisho maisha ya Diamond na mama yake kwasababu Kama Mama yake anathamini mali basi atambue ivyo ni vyakupita tuu Kwani Utakufa na utaviacha, lakini kama ameona Mimi siyo baba yake na Ameambiwa baba yake amefariki basi inabidi amfikirie baba yake wa kambo au kama anaona aifaii basi amna shida kwasababu alishawahi kuniambia nikae pembeni na familia yaoo nami nitakaa pembeni .." amesema Mzee Abdul 😥😥
The Last Hunters of Africa

Nyie Kenya hivi mnanini jamaani ..?😂😁
Unakipi cha Kumshauri ..? Dondosha comment ..!
#updates
#5starNewstz
1 year ago | [YT] | 4
View 0 replies
The Last Hunters of Africa
Muigizaji Wa bongo move pia na Mwimbaji kutoka Tanzania, Hemedy, wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari amefunguka kuhusiana mapenzi yalivyomfanya kubadili Dini kisa Mama mkwe kwa nia ya kumpata Binti
" Kunasiku nilimpenda Binti ambapo kipindi hicho nilikuwa Muuni tena Navaa Heleni , sasa Kunabinti mmoja Alikuwa ananipenda na Mama yake Alimwambia Anihitaji kwasababu ya Uhuni wangu ambapo mama yake ni Mtu wa Dini Sana na Kila siku alikuwa anaenda kanisani
" pia baada ya Binti kuambiwa hivyo alinifwata sasa siku hiyo nilienda saluni nikaweka nywele vizuri then Nikazipa masikio kwasababu yakuvaa heleni .."
Hivyo ilivyofika jpili nilienda kanisa lile lile analosali na alivyoniona akawa haamini.. " Amesema Hemedy
#Update
#5starNewstz
1 year ago (edited) | [YT] | 5
View 0 replies
The Last Hunters of Africa
Mzee abdul amefunguka kuhusiana na Maisha ambayo anaishi Diamond Platnumz pamoja na mama yake,
Kwa maelezo ya mzazi huyo amesema kuwa,
" Mpaka sasa Anayatazama Mpaka Mwisho maisha ya Diamond na mama yake kwasababu Kama Mama yake anathamini mali basi atambue ivyo ni vyakupita tuu Kwani Utakufa na utaviacha, lakini kama ameona Mimi siyo baba yake na Ameambiwa baba yake amefariki basi inabidi amfikirie baba yake wa kambo au kama anaona aifaii basi amna shida kwasababu alishawahi kuniambia nikae pembeni na familia yaoo nami nitakaa pembeni .." amesema Mzee Abdul 😥😥
Video nzima 👉 https://youtu.be/3IVvs0C-lA8
#updates
#5starNewstz
2 years ago | [YT] | 4
View 0 replies
The Last Hunters of Africa
Gigy Moneu ametangaza kujinyonga baada ya Mangekimambi kupost video yake ya utupu akiwa na mwanaume wanafanya yaoo 😂😂😂
Mpe neno moja la nguvu..
2 years ago (edited) | [YT] | 4
View 0 replies