JOACK AGROVET CENTER



JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA MIFUKO YA KUPANDIA MIMEA (MAUA, MICHE NA MBOGAMBOGA) | WE ARE SELLING GARDEN BAG PLANT | GROWING BAGS

Call/Text/WhatsApp: 0714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Mifuko hii ipo ya size tofauti tofauti. Na bei zake, inategemea ukubwa wa mfuko na idadi ambayo mteja atahitaji.

Bei za mifuko mifuko ya kupandia mimea (Price of planting bags/growing bags).

Mifuko 1 - 9
40cm X 40cm Bei ni 1,000Tsh
25cm X 25cm Bei ni 350Tsh
16cm X 16cm Bei ni 250Tsh
10cm X 10cm Bei ni 200Tsh

Mifuko 10 - 49
40cm X 40cm Bei ni 900Tsh
25cm X 25cm Bei ni 300Tsh
16cm X 16cm Bei ni 200Tsh
10cm X 10cm Bei ni 150Tsh

Mifuko 50+
40cm X 40cm Bei ni 800Tsh
25cm X 25cm Bei ni 250Tsh
16cm X 16cm Bei ni 150Tsh
10cm X 10cm Bei ni 100Tsh

Hii ni mifuko inayotumika kupandia miche au maua kwenye bustani, watengenezaji wa miche wanapenda sana kutumia mifuko hii kuoteshea miche.

Uzuri wa hii mifuko ni kwamba haiwezi kuharibiwa kirahisi na mwanga wa jua, hivyo inadumu muda mrefu.

Mifuko hii ni imara sana haiwez kuharibika kirahisi kwa kupasuka au kupungua uimara wake.

Mifuko hii ya kupandia mimea tunakutumia mkoa wowote ulipo ndani ya Tanzania, pia ata nje ya Tanzania tunatuma mzigo na unafika vizuri.

#mifuko #mifukoyakupandia #mifukoyamiche #mifukoyamaua #mifukoyakupandiamiche #miche #plantingbags #growingbag #agrobags #mifukoyamimea #mifukoyaviriba #tunauzamifukoyakuoandiamimea #flowerpot

Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joack.co.tz

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #kilimotz #kilimobiashara #kilimo #kilimochamatunda #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzania #dodoma #kilimochakisasa #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #iringa #arusha #morogoro

Mifugo Tz | Products and services

11 months ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA MICHE YA MATUNDA AINA ZOTE MICHE YA MUDA MFUPI MICHE YA KISASA HYBRID

Kuanzia miche 50 usafiri juu yetu kwenda mkoa wowote ndani ya Tanzania.

Call/Text/WhatsApp: 0714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Aina ya #miche ya matunda inayopatikana Kilimo Tz:
1. Miembe
aina za embe ambazo tunazo
a. Tommy
b. Indian Red
c. Apple Mango
d. Dodo
e. Bolibo
f. Alphonso
g. Maya

2. Papai
Aina za papai amabazo tunazo
a. Malkia
b. Calphoni

3. Chenza
4. Ndimu
5. Limao
6. Chungwa
7. Parachichi
8. Strawberry
9. Pera
10. Pomero
11. Komamanga
12. Pesheni
13. Ndizi Migomba

Aina za ndizi tulizonazo:

i. Ndizi malindi (Tunda + Kupika)

Aina za ndizi malindi
a. Malindi ndefu.
b. Malindi fupi

ii. Ndizi mzuzu (Za kupika)

iii. Ndizi kisukarii (Tunda)

iv. Ndizi bukoba (Za kukaanga maranyingi wauza chipsi au kwenye mabar wanazitumia)

v. Ndizi mshale (Zakupika)

vi. Ndizi mkono wa tembo

vii. Ndizi Jamaica

viii. Ndizi FHIA

x. Ndizi Mtwike

xi. Ndizi Jamaica

xii. Ndizi Uganda Nk.

Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#micheyamichungwa #micheyandimu #micheyamipera #micheyapapai #malkiaF1 #micheyakorosho #micheyalimao #micheyapesheni #micheyaparachichi #embe #pera #limao #ndimu #chungwa #parachichi #kilimotz #tunauzamiche #strawbery #micheyastroberi #apple #micheyafenesi #migomba #ndizi #micheyamigomba #pomero #komamanga #micheyamiti #mitiki #miche

11 months ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA PILIPILI HOHO ZA KISASA AU ZA RANGI

Msimu huu wa mavuno kwetu utapata pilipili utapata pilipili hoho kwa kiasi unacho taka kuna zaidi ya kilo 500 tumeanza kuzivuna.

#wauzajiwapilipili #wauzajiwapilipilihoho #hoho #greenpepper #pilipilihoho #greenssupermarket #greengrocery .

Kama unahitaji kujengewa Greenhouse wasiliana nasi kupitia:

Simu:
+255 714 636 375
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

#mbogamboga #nyanya #farmfresh #mbogamboga #karot #kilimo #kilimotz #tomato #vitunguu #hoho #greenhouse #dripirrigation #shamba #mshamba #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farm #kilimochakisasa #masokoyamazao

11 months ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

SUPERGRO KIRUTUBISHO CHA MMEA AMBACHO HAKINA CHEMIKALI | BOOSTER

SUPERGRO ni kirutubisho cha asili cha mmea, hutumika kwenye bustani za maua na mashambani.

KAZI YA SUPERGRO NI NINI?

1. Kurutubisha ardhi - hasa kama aridhi haina rutuba ya kutosha.

2. Kurutubisha mmea - ili mmea uweze kunawili na kuzaa vizuri.

3. Kusisimua mmea - inaongeza kasi ya ukuaji na uzalishaji.

4. Kuongeza uingi wa mazao.

5. Kuongeza ukubwa wa mazao.

6. Inasaidia viwatilifu (dawa) kufanya kazi vizuri - yaani inafanya kama gudi ya dawa kwenye mmbea.

7. Inasaidia vikonyo kuwa imara hivyo husaidia kutopukutisha

KWENYE MAUA | BUSTANI ZA MAUA

1. Inatibu ardhi

2. Inang'arisha ukoka na kuleta ukijani wa kung'aa ambao haufifii ata jua liwake kali

3. Inatoa matokeo mazuri katika aina zote za mimea.

4. Haina kemikali yoyote kwa hiyo ni salama.

5. NI zaidi ya booster na mbolea za kawaida.

6. Inatumika kwenye udongo wowote.

Kama unataka kupata matokeo kwenye mazao fanya kama unajaribu supergro utaona matokeo na hauta acha kutumia.

Tunazo superagro katika ujazo tofauti zipo za Robo Lita (250mls), Lita Moja (1L) na Lita Tano (5L), Karibu.

#superagro #kirutubishochammea #mbolea #kukuzamazao #mazao #mboleayakupandia #mboleayakukuzia #udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu

Kama unahitaji Superagro, mbegu, udongo au trei wasiliana nasi kupitia:

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

Website
www.joack.co.tz

Huduma zetu zinatolewa hadi kwa watu waliopo mikoani.

#joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #farmfresh #mbogamboga #karot #kilimo #kilimotz #tomato #vitunguu #hoho #greenhouse #dripirrigation #shamba #daressalaam #dodoma

11 months ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA VIKIPO VYA KUPULIZIA DAWA | HAND SPRAYER

WE ARE SELLING HAND SPRAYER | KNAPSAC SPRAYER

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo

Knapsac sprayer ni mabomba/mashine zinazotumika kupulizia viuatilifu kwenye mimiea au kuulizia sumu kwajili ya kuuwa wadudu kwenye mazingira.

Hizi pampu zinafaa sana kwenye shughuli za furmigation: majumbani, mashambani, mashuleni, ofisini, nk

Hizi mashine ni imara sana tofauti na mashine nyingine, na pump yake ina dumu muda mrefu.

Hizi ndio mashine za kisasa zinazotumika kwenye Kazi za furmigation.

Hizo pampu hapo juu ni za manual, ila tunazo pampu nyingine za kuchaji yaani za umeme na pia tunazo zinazotumia mafuta ya petrol.

Kwa wateja wa mikoani, tunatuma mizigo katika mkoa wowote ulipo kwa uaminifu mkubwa na kwa wakati.

#handsprayer #sprayer #pump #pampu #pampusafi #electricalhandsprayer #mashineyakupuliziadawa #madumuyakupuliziadawa #dawazamifugo #dawazakilimo #viuatilifu #mrfamerpump #mashineyafurmigation #knapsacsprayer #handsprayer #pampuzakilimo #madumuyadawa

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://www.joack.co.tz

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #mifugotz #mifugo #kilimo #kilimotz #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #tanzania #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #dodoma #mwanza #morogoro #ufugajikibiashara

Welcome JOACK Company LTD | Bagamoyo & DSM

1 year ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA MIFUKO YA KUHIFADHIA NAFAKA | MIFUKO YA PICS

Call/Text/WhatsApp: 0714 636 375

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

MIFUKO YA PICS NI NINI HASA?

PICS bags ni kifupi cha manenoโ€ purdue improved crop storageโ€ na ni mifuko iliyobuniwa kwaajili ya kuhifadhi mazao mbalimbali bila kutumia kemikali au madawa ya kuuwa wadudu waharibifu wa mazao.

Kwa lugha rahisi inajulikana kama mifuko ya tabaka tatu kwa vile
inatabaka tatu zinazofanya kuwa mfuko mmoja uliokamilika mfuko huu una tabaka tatu ,tabaka mbili za ndani zimeundwa na nylon mbili nzito na tabaka ya nje ni mfuko mzito wa kiroba au sandalus

Unaweza kuhifadhi mazao yote ya jamii ya nafaka na mikunde kwa kutumia mifuko ya kinga njaa(picstabaka tatu), mfano; #mahindi, #mtama, #uwele, #shayiri, #ngano, #kunde, #maharage, #karanga, #mbaazi, #njugumawe, #fiwi, #choroko

#mifukoyakuhifadhianafaka #mifukoyapics #mifukoyatabakatatu #nafaka #kuhifadhinafaka #wauzajiwanafaka #mchele

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw

Website link: https://www.joack.co.tz

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #kilimo #mifugo #dodoma #kilimochanafaka #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #mbegu #tanzania #morogoro #mbeguzanafaka

Welcome JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO

1 year ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

SIFA NA BEI ZA GRASS CHOPPING MAHINE
0.5 tone per hour Bei ni 1,400,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 1,500,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 2,000,000/= - Two fuction
3.5 tone per hour Bei ni 2,200.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,500.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,800.000/= - Two fuction
6.5 tone per hour Bei ni 8,500.000/=

Zipo mashine zinazotumia petrol au Disel, bei huwa tofauti

GRASS CHOPPING MAHINE ni mashine zinazo tumika kuchakata (kukatakata) majani kwajili ya mifugo hasa ng'ombe.

Hizi mashine zinauwezo wa kukatakata majani marefu na pana ili kuwa vipande vidogo vidogo kama chips.

Faida za kuchakata majani kuwa katika vipande vidogo ni nyingi sana, ambazo ni kama;
1. Husaidia umeng'enywajwi wa chakula kwa haraka.
2. Unawaza kuchanganya majani na molasses ya maji kwa hurahisi.
3. Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna.
4. Yanaongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa.

Mashine hizi zinapatikana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani mzigo unatumiwa mpaka mahali ulipo, Kwa gharama nafuu na uwaminifu mkubwa sana.

#mashine #majaniyangombe #mashineyakuchakatamajani #kukatakatamajani #ngombewamaziwa #chaffcutter #mashineyakuchakatamajaniyangombe #mashineyakukatamajani #grasschoppingmachine #vifaavyamifugo #pembejeo #vifaavyakilimo #mashinezakilimo

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

Website
www.joack.co.tz

#hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #doghospital #dogclinic #tanzania #madawa #madawayamifugo #dodoma

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

1 year ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

JOACK TUNAUZA TAA ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA TAA ZA KUZALISHA JOTO | TAA ZA JOTO KWAJILI YA MIFUGO

Tunakupa na holder yake Bure...

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Hizi ni taa ambazo zinauwezo mkubwa wa kuzalisha joto kwajili ya mifugo (vifaranga).

Taa hizi zinatumika sana na wafugaji wa kuku, kwajili ya kukuzia vifaranga.

Taa moja inauwezo wa kulea vifaranga 100 - 200 na zaidi.

Badala ya kutumia mkaaa au gasi kwajili ya kuzalisha joto, unaweza kutumia hizi taa.

Umuhimu wa joto kwa vifaranga sio tu wasipigwe na baridi, joto linatumika sana kwenye ukuaji wa vifaranga.

Vifaranga visipo pata joto la kutosha huwa vinadumaa.

Faida ya taa ni kwamba hazizalishi moshi (carbon monoxide au carbon dioxide) kama ambapo ungetumia mkaa au gasi.

Pia hizi taa hutumika kwenye mikoa ya baribidi kama mbeya, kwa lengo la kuzalisha joto.

Aina ya taa tulizonazo
1. Taa za watt 100
2. Taa za watt 220
3. Taa za watt 300

#taazajoto #taanyekunduzajoto #heatinglamp #taazavifaranga #balbuzawatimia #heaterzavifaranga #vyunguvyajoto #taazamifugo #vyungukwavifaranga #jotokwavifaranga

Karibuni sana @joackcompany

Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji, Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102.

Kuhusu kampuni follow @joackcompany

Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joack.co.tz

#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #joackcompany #joackvetcenter #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #dodoma #vifaranga #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

1 year ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNAUZA MASHINE MBALIMBALI ZINAZOTUMIKA KWENYE SHUGHULI ZA KILIMO

Kwenye picha ni mashine ya kukoboa mpunga.

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

JOACK Company LTD tunauza na kusambaza mashine zinazoweza kufanya kazi tofatuti tofatuti kwenye maswala ya kilimo.

Matumizi ya mashine za kisasa kwenye kilimo ni teknolojia chanya inayoongeza tija kwa mkulima.

Baadhi ya hizo mashine za kilimo ni:-
1. Mashine kuchakata mpunga
2. Mashine ya kupukuchua mahindi
3. Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti
4. Mashine ya kukoboa Michele
5. Mashine ya paraza
6. Mashine ya kusaga mahindi.
7. Mashine ya kusaga vitu vikavu
8. Mashine ya kuchakata majani
9. Mashine kukata nyasi
10. Mashine ya kupandia mpunga
11. Mashine ya kupukuchulia karaka

Hizo ni baadhi tu ya mashine tunazo uza, ila ukiitaji mashine yoyote unapata, pia tunaweza kuagiza kutoka nje ya nchi.

#joackmashine #mashinezakilimo #kuchakatampunga #Mashineyakupukuchuamahindi #Mashineyaalizeti MashineyakukoboaMichele #Mashineyaparaza #Mashineyakusagamahindi #Mashineyakusagavituvikavu #Mashineyakuchakatamajani #Mashineyakukatanyasi #Mashineyakupandiampunga

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw

Website link: https://joack.co.tz

#joackcompany #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #dodoma

Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

1 year ago | [YT] | 0

JOACK AGROVET CENTER

TUNATENGEZA NYUMBA NA MIFUMO YA UZALIZAJI WA HYDROPONICS FODDER KWAJILI YA MIFUGO

Call/Text/ WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Huu mfumo unaitwa HYDROPONIC FODDER SYSTEM ni njia inayotumika kuitengeneza chakula cha mifugo kupitia mbegu maalumu (fodder seeds) za nafaka.

kilo 1 ya mbezu inaweza kuzalisha fodder (nyasi/malisho) kilo 8 ndani ya siku 7

HYDROPONICS: Hii ni teknolojia ya kuotesha mazao kwa maji na virutubisho bila kutumia udongo.

FAIDA YA HYDROPONIC FODDER PRODUCTION
1. Ni rahisi katika kutumia teknolojia hii, husaidia kuvuna na kupata mazao mengi kwa wakati mfupi mno.

2. Haina madhara kwa afya za mifugo na binadamu kama mlimaji alizingatia maelekezo.

3. Kiwango cha maji kinacho tumika ni kidogo zaidi ya kutumia udongo.

4. Inaokoa matumizi ya ardhi na badala yake kuifanya popote.

#hydroponicfodder #chakulachamifugo #mbefuzahydroponics #utengenezajiwachakula #fooder #bata #batamzinga #batawanauzwa #turkey #batabukini

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joack.co.tz

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

JOACK COMPANY LTD DSM NA BAGAMOYO

1 year ago | [YT] | 0