AN-NUUR TV Online ni Chanel inayotokana na Gazeti kongwe la Kiislamu la An-nuur linalochapishwa kila wiki na lililosajiliwa nchini Tanzania kwa ISSN 0856-3862. Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam, Tanzania