Karibu Takwimu360 – kituo chako cha kipekee kwa uchambuzi wa takwimu zinazogusa maisha ya Watanzania.
Tunaangazia mastaa wa Bongo Flava, wanasiasa wa ndani, na soka la nyumbani kwa mtindo wa kipekee na wa kisasa.
Kila video ni data halisi, uchambuzi wa kweli, na burudani yenye akili.

🎯 Hapa ni Bongo, lakini mtazamo wetu ni 360°.


TAKWIMU360Β°

AHSANTENI SANA FAMILIA! TUMEFIKISHA 5,000 SUBSCRIBERS πŸ₯°πŸ˜πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
KILA MMOJA WENU NDIYE SABABU YA SAFARI HII KUENDELEA KUKUA. SUPPORT YENU INANIPA NGUVU YA KU-PUSH ZAIDI KILA SIKU.
NAWAOMBA MUENDELEE KUSIMAMA NAMI MPAKA MWISHO WA DUNIA HII AMENπŸ™πŸ½

1 month ago | [YT] | 5

TAKWIMU360Β°

Mtaalamu wa hizi Kazi (Harmonize) & Mbosso...Wamepanga kuachia BANGER kabla mwaka huu haujaisha, wangapi wanaisubiri kwa hamu collabo hii ya hawa majamaa wakali kabisa linapokuja suala la BANGER kali za Bongo?

HARMONIZE & MBOSSO KHAN

1 month ago | [YT] | 38