**“Life Tales Africa ni kituo cha simulizi cha lughja mbili (Kiswahi na Kiingereza) kinachojikita katika kuhamasisha, kuelimisha na kuinua mioyo iliyopondeka kupitia hadithi zenye nguvu kutoka Afrika na kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Hapa tunasimulia mambo muhimu ya maisha, safari za mafanikio, busara za kitamaduni, pamoja na matukio halisi yanayochochea matumaini, ujasiri na mabadiliko ya fikra.
Dhamira yetu ni kuhifadhi na kuendeleza urithi wa usimulizi wa Kiafrika huku tukiunganisha hekima hiyo na msukumo wa kimataifa.
Ungana nasi kila wiki kusikiliza hadithi zinazogusa moyo, kubadili mtazamo, na kuadhimisha ujasiri pamoja na uthabiti wa watu wetu.”**