Success Path Network

Welcome to Success Path Network, where we believe in the power of knowledge-sharing and growth.

Our channel is dedicated to capacity building and self-development, and our slogan, "Each One Teach One," reflects our commitment to helping you unlock your full potential.

Join us on this journey of personal and professional growth as we share valuable insights, practical tips, and inspiring stories to empower you along your success path.

Subscribe today and let's embark on this transformative journey together! 🌟


Success Path Network

Nimeandika kitabu ambacho nilitamani sana kama ningekisoma miaka mingi iliyopita... ANZA KUJIAMINI. "Mwongozo wa Kujenga Kujiamini Ndani ya Siku 7". Kipate sasa katika softcopy kwa sh. 4,000/= tu. Niandikie ujumbe kwenye WhatsApp, tuma neno "PDF" namba 0759191076.

1 month ago | [YT] | 97

Success Path Network

IFAHAMU BUSINESS SPOTLIGHT SERIES (BSS):

*Habari mjasiriamali!*

Naitwa Ezden Jumanne, mwanzilishi wa Success Path Network, YouTube channel inayowafikia zaidi ya watu 350,000 kwa maudhui ya maendeleo binafsi na biashara.

Nimeanzisha Business Spotlight Series (BSS) β€” mfululizo wa mahojiano maalum na wamiliki wa biashara na makampuni yanayofanya vizuri nchini.

Lengo ni kuwaonesha watu huduma bora mnazotoa, changamoto mnazopitia, na mafunzo mnayoweza kuwapa vijana na wajasiriamali wengine.

Badala ya tangazo la sekunde chache β€” hii ni interview ya ubora wa juu inayokujenga kama kiongozi wa sekta yako, na kukuweka mbele ya maelfu ya watazamaji kwenye YouTube na mitandao mingine.

Kama wewe ni mmiliki wa biashara au kampuni unayetaka kuonekana, tafadhali niandikie neno *BSS* kwenye WhatsApp kupata maelezo zaidi ya jinsi unavyoweza kushiriki kwenye Business Spotlight Series.

*CHECK THE PLATFORMS*
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
πŸ“Ί *YouTube:* YouTube.com/ezdenjumanne

πŸ“Έ *Instagram:* Instagram.com/ezdenjumanne

*EZDEN JUMANNE*
*Director – Success Path Network*
*WhatsApp: +255 759 191 076*
*ezdenjumanne@gmail.com*
*Dar es Salaam, Tanzania*

2 months ago | [YT] | 17

Success Path Network

Umewahi kujikuta una jambo muhimu la kusema, lakini maneno yanakwama? Unajua unachotaka kueleza, lakini sauti yako haina ujasiri hata kufanya watu hawakuelewi vizuri.
.
Hebu fikiria kama ungeweza kuzungumza kwa ufasaha, kwa kujiamini, na kwa mvuto unaoshawishi, ingekuaje?
.
Nimekuandalia Kozi fupi β€œPOLISH YOUR SPEAKING SKILLS” niliyofundisha kwa kiswahili maalum kukusaidia kuondoa vikwazo hivyo.
.
Utajifunza mbinu rahisi na zenye nguvu katika kujenga ujasiri, kuboresha matamshi, na kuwasilisha mawazo yako kwa ushawishi mkubwa.
.
Usiruhusu sauti na mawazo yako yapotee, unaweza kusikika kwa uthabiti. Jiunge leo na anza safari ya kuwa msemaji bora zaidi ndani ya wiki mbili tu.
.
Pata kozi hii sasa kwa punguzo la bei la 30,000/= tu badala ya 50,000/= kwa weekend hii, pekee!
Tuma neno KOZI kwenye whatsapp namba 0759-191-076

3 months ago | [YT] | 20

Success Path Network

Umepitia hili somo leo? Niambie kama na wewe ulikuwa unafahamu siri hii. Lakini mbali na kufahamu unaitumiaje kubadili maisha yako kuanzia sasa? Tazama hapa: https://youtu.be/DUncddDJzPY

3 months ago | [YT] | 23

Success Path Network

Tazama mambo niliyojifunza nilipotembelea Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania.
Ili kuangalia mazungumzo yetu, bonyeza hapa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
LINK: https://youtu.be/Ik6BWyfDk3k?si=HI5sm...

4 months ago | [YT] | 27

Success Path Network

Mambo Vipi!? Napenda kuwashukuru sana wafuatiliaji wetu toka kona mbalimbali za dunia ambao mara zote hutuambia mko wapi na kuchangia mawazo yenu kwenye content zetu za kuelimisha.
.
Kuanzia mwisho wa mwezi huu wa saba (July) panapo majaaliwa tutakuwa tunatoa zawadi kwa watu watano wanaofuatilia masomo yetu kwa ukaribu na kuchangia mawazo yao au kujibu maswali yatakayokuwa yanaulizwa kwenye video zetu.
.
Kwa hiyo kaa karibu, kaa tayari.
.
Ungependa tuanze na zawadi zipi mtu wangu!? Hebu nipe mawazo yako hapo kwenye comments. Usisahau kuandika upo wapi.

Ezden J.

5 months ago (edited) | [YT] | 112

Success Path Network

Tafiti zinaonesha asilimia kubwa ya watu hununua bidhaa au huduma baada ya kuona video ya biashara.
.
Hii ina maanisha, VIDEO ni njia ya kuvutia ya kuonesha huduma au bidhaa na kuwafikia wateja wengi kwa haraka zaidi.
.
Nami nakupa fursa ya kupata tangazo zuri la biashara yako kwa punguzo kubwa la bei.
.
Tuma neno β€œTANGAZO” kwenye WhatsApp: 0759-191-076 upate taarifa kamili za jinsi ya kupata tangazo lako la kibunifu na kuvutia kwa bei ya ofa.
.
ONA MATANGAZO YETU HAPA:
πŸ‘‰πŸΎ Instagram.com/ezden_voiceover
.
MWISHO WA OFA HII NI TAREHE 5 JANUARI.

11 months ago | [YT] | 25

Success Path Network

Kama una ndugu au rafiki anasomea au anapendelea Broadcasting | Utangazaji. Au ni mzazi anasomesha, muoneshe hii. Atakushukuru sana

https://youtu.be/rROd936xf4U?si=TSTrg...

1 year ago | [YT] | 4

Success Path Network

Wewe ndiye unayehusika na hisia zako na matokeo yake.
(You are always responsible for your emotional reactions)
.
Hakuna mtu anayeweza kukulazimisha kuhisi namna fulani. Hisia zako ni matokeo ya jinsi unavyoitafsiri hali na matukio yanayokukuta. Unapochukua jukumu la hisia zako, unapata nguvu ya kuzidhibiti na kujenga maisha yenye amani zaidi.
.
Ikiwa mtu anakukosoa kwa jambo fulani, unaweza kuchagua kuchukia na kujihisi vibaya au kuchukua maoni hayo kama fursa ya kujifunza na kujiboresha.
.
Basi kuanzia leo, jifunze kuchukua jukumu la hisia zako na utaweza kuzidhibiti vizuri na kuishi maisha yenye utulivu na amani zaidi.
.
UMEPATA NINI HAPA?

1 year ago | [YT] | 34

Success Path Network

April 16th marks my birthday, alhamdulillah. I reflect deeply on the time I've spent, my accomplishments, and the remaining time ahead.

Each passing day diminishes my lifespan, emphasizing the need to leave a meaningful legacy.

Will I succeed in leaving a beneficial mark for those who come after me? On this significant day, my parents welcomed me with joy, and I pray to Allah for guidance in improving my work to positively impact lives and foster personal growth.

Join me in the journey of adding value to society by sharing valuable knowledge for free.

Visit and subscribe to my YouTube channel, "Success Path Network."

Or click hereπŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
YouTube.com/ezdenjumanne

God bless you abundantly! Have a fruitful day ahead.

@ezdenjumanne

1 year ago | [YT] | 189