Karibu kwenye channel yetu pendwa ya brand kidigitali , tunafundisha na kutoa mwongozo sahihi namna ya kujifunza fulsa mbambali za teknolojia na kuwa kama sehemu ya ajira .
Mafunzo yetu yanalenga kuandaa vijana na kuwa wataalamu kwenye mambo haya :
- Graphics Design
- Motion Graphics
- Video Editing
- Social Media Management
- Digital Marketing
Brand kidigitali
MAFUNZO YATAANZA TAREHE 18 MARCH , KUANZIA HATUA YA BEGINNER TO EXPERT , WASILIANA NASI : +255 687 680 811
3 months ago | [YT] | 5
View 0 replies
Brand kidigitali
Mwaka 2025 - 2026 , Nimefanikiwa Kutengeneza Vijana Takribani 1000 Ambao waliweza kujifunza Skills mbalimbali na Baadae Kufanikiwa Kupata Ajira.
Karibu ujiunge na Mafunzo Kupitia : www.instagram.com/brand_kidigitali/
5 months ago | [YT] | 4
View 0 replies
Brand kidigitali
HIZI NDIO SABABU ZA KUFUNDISHA IDADI KUWA YA WANAFUNZI HAPA TANZANIA 🔥🔥🚀 Follow us On Instagram @brand_kidigitali
5 months ago | [YT] | 11
View 2 replies
Brand kidigitali
MATOKEO YA MENTORSHIP KWA MUDA WA WEEK 02 🔥🔥🚀🚀.
Kama Ulikuwa Unatafuta Ujuzi wa Graphic Design na Ulitamani Ujifunze kwa Muda Mfupi sana....Naku-Recommend ujiunge na Haya Mafunzo.
-
Kama Ulikosa Kujiunga Wakati Uliopita
Nimetoa nafasi ya Mwisho ya kujiunga kwa idadi ya wanafunzi 20 , Mafunzo yataanza Tarehe 04 January 2026.
Mafunzo haya Yamelenga Kufundisha Graphic Design Full Course kwa Kutumia Program 2 ( Adobe hotoshop & Illustrator ).
Kwa Muda wa Miezi 2.
Mafunzo yatafanyika : Whatsap Group Kuanzia Saa 08:00 PM ( Usiku ) - 10:00PM ( Usiku )
Ada ya Mafunzo : 100,000
Unaweza Kufanya Malipo Kupitia :
Airtel Money : 0687680811 , Jina : Herman Chindunguka
6 months ago (edited) | [YT] | 7
View 2 replies
Brand kidigitali
FOLLOW US ON INSTAGRAM : www.instagram.com/brand_kidigitali?igsh=aGJ0b2Jya3…
WASILIANA NASI KWA NAMBA : 0687680811
8 months ago (edited) | [YT] | 1
View 0 replies
Brand kidigitali
Karibu Ujiunge na Mafunzo +255687680811
11 months ago | [YT] | 8
View 2 replies
Brand kidigitali
Mafunzo ya graphic design , HATUA KWA HATUA.
11 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
Brand kidigitali
Muongozo Rahisi wa Kujifunza Kutengeneza Logo / Nembo za Biashara ......Kupitia Muongozo huu Mtu yeyote Anauwezo Wa Kujifunza na Kuwa Mtaalamu kabisa kwenye Ubunifu wa Nembo za biashara.
Kitabu hiki Kimeambana na Mafunzo ya Vitendo ( Ambayo yapo kwenye Mfumo wa videos ) .
Gharama ya Kitabu ni TZS 8000
Mafunzo ya Vitendo TZS 50,000. ( Mafunzo yapo kwenye Mfumo wa Videos )
Wasiliana nasi 0687680811
@subscribers
#subscribers
1 year ago (edited) | [YT] | 15
View 0 replies
Brand kidigitali
Kwa Mahitaji ya hizi Fonts Nitafute kwa namba : +255687680811
1 year ago | [YT] | 12
View 0 replies
Brand kidigitali
Karibu Ujiunge na Mafunzo ya Muda Mfupi , Uweze KUONGEZA UBUNIFU KWENYE FANI YA GRAPHIC DESIGN ....... KUJIUNGA JAZA FOMU HAPO CHINI 👉 forms.gle/TdKMWaAMrs5ttQke9 Au Piga Simu : 0687680811
1 year ago | [YT] | 11
View 0 replies
Load more