Watumishi mbalimbali wa vyombo vya habari na mawasiliano katika Divisheni ya Afrika ya Kati na Mashariki wamekutana kwa lengo la kuimarisha matumizi ya majukwaa ya kidijitali katika kutangaza Injili kwa ufanisi na uaminifu. Miongoni mwa ujumbe uliosisitizwa ni kwamba, kabla ya kujiuliza kama maudhui yetu yatapata watazamaji wengi, tunapaswa kujiuliza swali muhimu zaidi: “Mungu anapotazama maudhui haya, atasema ni mema?”
Wito huu unatukumbusha kwamba kila maudhui tunayozalisha yanapaswa kumtukuza Mungu, kujengwa juu ya ukweli wa Neno Lake, na kuwa chombo cha kuleta tumaini, kuhamasisha imani na kuendeleza utume wa Injili katika ulimwengu wa kidijitali.
Southern Tanzania Union Mission
#MamboYoteMapya #tumainilinaanziahapa
1 week ago | [YT] | 29
View 1 reply
Southern Tanzania Union Mission
Zimesalia siku 23! Andaa akaunti yako na ukurasa utakaoutumia kushiriki ujumbe wa tumaini ifikapo Septemba 05. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
3 weeks ago | [YT] | 15
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
Mshikilie Mungu usikate tamaa
4 weeks ago (edited) | [YT] | 39
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
Zimesalia siku 25! Shiriki rasilimali ya leo. Posta rahisi inaweza kuleta mabadiliko. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
4 weeks ago | [YT] | 16
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS 226
4 weeks ago | [YT] | 14
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
(ECD Digital Content Creators Workshop)
Watumishi mbalimbali wa vyombo vya habari na mawasiliano katika Divisheni ya Afrika ya Kati na Mashariki wamekutana kwa lengo la kuimarisha matumizi ya majukwaa ya kidijitali katika kutangaza Injili kwa ufanisi na uaminifu.
Miongoni mwa ujumbe uliosisitizwa ni kwamba, kabla ya kujiuliza kama maudhui yetu yatapata watazamaji wengi, tunapaswa kujiuliza swali muhimu zaidi: “Mungu anapotazama maudhui haya, atasema ni mema?”
Wito huu unatukumbusha kwamba kila maudhui tunayozalisha yanapaswa kumtukuza Mungu, kujengwa juu ya ukweli wa Neno Lake, na kuwa chombo cha kuleta tumaini, kuhamasisha imani na kuendeleza utume wa Injili katika ulimwengu wa kidijitali.
1 month ago | [YT] | 56
View 1 reply
Southern Tanzania Union Mission
MAKAMBI MTAA WA MBEZI JUU 2026
SIKU YA 05
1 month ago | [YT] | 19
View 1 reply
Southern Tanzania Union Mission
MAKAMBI MTAA WA MBEZI JUU 2026
MASOMO YA UONGOZI
1 month ago | [YT] | 23
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
MAKAMBI MTAA WA MBEZI JUU 2026
SIKU YA 05
1 month ago | [YT] | 17
View 0 replies
Southern Tanzania Union Mission
MAKAMBI MTAA WA MBEZI JUU
MASOMO YA UJASIRIAMALI
1 month ago | [YT] | 18
View 0 replies
Load more