Hapa ni kitovu cha Midundo Mikali (Beats) na Elimu ya Muziki. Tunajikita katika kutoa sauti zenye viwango vya kimataifa na kusaidia wasanii pamoja na maproducer kukua.
🛒 NUNUA BEATS (Beats for Sale)
Vinjari (Stream) na pakua (Download) midundo ya kipekee katika miondoko ya:
• Bongo Flava & Afrobeat
• Amapiano & Dancehall
• Zouk & Kompa
🛠 JIFUNZE PRODUCTION (Tutorials)
Kila wiki tunaweka video za kukusaidia kuboresha kazi zako:
• Mixing & Mastering: Mbinu za kupata sauti angavu na yenye nguvu.
• Beat Breakdown: Tazama hatua kwa hatua jinsi tunavyosuka "Hit" kuanzia mwanzo.
• Additions: Maujanja ya Plugins na mbinu za kupanga ala (Arrangement).
Bofya SUBSCRIBE 🔴 na washa kengele ili usipitwe na kila dondoo!
#BeatsForSale #BongoFlava #MixingAndMastering #BeatBreakdown #Afrobeats #ProducerLife
Tinnvibez
@dplatnumz ameachia nyimbo yake ya kuitwa #JOY akishirikiana na @africanboyJUX ni project kali sana. Ikiwa wewe ni msanii na unataka kufanya challenge au kufanya kazi mpya kwa style ya mziki huu wa #DiamondPlatnumz ft. #Jux
Basi fanya kuisikiliza na kui-download hapa 👇🏾
3 months ago | [YT] | 0
View 0 replies
Tinnvibez
Girl like you 😊
Ni nyimbo inayohusu mapenzi ikiwa imefanywa na Malick Hulio akishirikiana namimi Tinnvibez.
Ikiwa bado haujasikiliza mpaka sasa hivi basi muda huu ndiyo sahihi. Najua unapenda new sound, dancehall, afrobeats inshort we ni music lover mzuri sana.
Nisikuchoshe gusa hapa kusikiliza full audio na inapatikana kwenye digital platforms zote
#Girllikeyou #Tinnvibez #NewMusic
3 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Tinnvibez
#FINALE ni bonge moja la ngoma. 🔥
Bien kanyoosha kama kawaida yake ukiachana na maunyama ya Alikiba. This song ni kali sana.
Najua unapenda new music, new sound, bongo flava na east african music kiujumla. Leo nimekuletea Instrumental remake ya FINALE.
Gusa hapa kuisikiliza full kama utapendezwa nikuweke na video ya namna gani nimeitengeneza beat hii.
Acha comment yako.Nipo nakusubiri hapa 😊
3 months ago (edited) | [YT] | 1
View 0 replies
Tinnvibez
Bila shaka umeamka salama
Je, umefanikiwa lisikiliza hili beat? Kama bado fanya hivo usisahau kuacha comment yako.
Beat Name: ISABELLA
Produced: Tinnvibez
#Isabella #BongoFlava #Instrumental
3 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
Tinnvibez
🙏 ASANTENI SANA FAMILY 🙏
Nawashukuru kwa moyo wangu wote kwa kuniwezesha kufikisha Subscribers 2,300+ 🔥🔥
Hii safari isingewezekana bila support yenu, likes, comments na kushare kazi zangu.
Safari bado inaendelea 🚀
Content kali zaidi zinakuja 🎶🎧
Tunaenda mbali zaidi, pamoja 💪🏾👑
Asanteni sana kwa kuniamini na kuniunga mkono ❤️
Mungu awabariki 🙏
👉 Endelea kuni-support
👉 Subscribe • Like • Comment • Share
5 months ago | [YT] | 17
View 4 replies
Tinnvibez
STOP SCROLLING.
Hii beat ni ya HIT.
📲 WhatsApp to buy license.
https://youtu.be/oKNWBrG0pU4?si=oinKk...
5 months ago (edited) | [YT] | 1
View 0 replies
Tinnvibez
Mziki mzuri ni ule utakao kufanya utikise kiuongo chochote cha mwili. Sikiliza hii nyimbo kuanzia instrumental, melody na mashairi hauwezi jutia kuyaruhusu masikio yako kupata chakula chake ♥️🙏🏾
9 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
Tinnvibez
Show some love kwa kuangalia video hii #NAKUKUNDA
10 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
Tinnvibez
Upendo ♥️ ni kitu ambacho kipo ndani yetu na nashukuru sana kwa upendo wako umenifanya saizi kwenye page yetu tuna community ambapo unaweza niambia chochote kile kuhusu muziki na maisha mengi kama utaona yanafaa kuletwa hapa.
Kikubwa tupate solution ya changamoto tunazopitia 😊
Nakupenda pia tuendeleze upendo. Ukitaka kujua kuhusu muziki narudia tena acha comment yako hapa. Muziki ni biashara tufundishana namna za kuzichukua hizi pesa 💰💰💰
It'x your boy Tinnvibez and I am OUT 👑
1 year ago | [YT] | 5
View 0 replies
Tinnvibez
Tarehe 6 mwezi wa 6 wewe ni miongoni mwa watu ambao mmefanikisha kunipa subscribers 1000 😊🙏🏾
Nakushukuru sana kwa upendo wako nakuahidi kuna mengi yanakuja mazuri na siwezi nikakuangusha.
Najua kabisa unapenda mziki mzuri, kujifunza vitu vingi kuhusu muziki na isitoshe. Ikiwa wewe ni msanii unahitaji kufanya kazi namimi naomba tuwasiliane namba zangu hizi 0769656272
It you are favourite music producer in town TINNVIBEZ and I am out
1 year ago | [YT] | 4
View 2 replies
Load more