Vision TV Tanzania is a digital media platform offering a mix of news, entertainment, educational, and cultural programming.
Our mission is to inform, educate, and entertain while promoting content that resonates with East African and Swahili-speaking audiences.
Vision TV Tanzania is produced and managed by Isaac Samuel, a communication and media professional committed to responsible journalism, insightful analysis, and culturally relevant storytelling.
We respect copyright and use content responsibly. For any concerns or inquiries, please contact us via the email below.
Watch and Learn.
Vision Tv Tanzania
Heri ya Pasaka kwa watazamaji wote wa Vision Tv! 🐣✨ Tunawatakia furaha, amani, na upendo tele katika kipindi hiki maalum, endelea kuwa nasi. Watch And Learn!
#VisionTVTanzania
#watchandlearn
5 months ago | [YT] | 2
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Tunapenda kuwashukuru sana subscribers na watazamaji wote wa Vision TV kwa support kubwa mliyotuonyesha mwezi wa March.
Kila view, like, comment na share yenu imetufikisha hapa tulipo leo, hii milestone ni yenu pia. Tunaahidi kuendelea kuwapa maudhui bora zaidi.
Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya familia hii! 🙏
5 months ago | [YT] | 5
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Vision Tv chini ya Vision Unity tunakutakia wewe na familia yako Eid Mubarak. Siku hii iwe siku ya kipekee na yenye baraka nyingi 💙
#watchandlearn
#Eidmubarak
6 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Eid Mubarak! 🌙 Asanteni kwa kuwa sehemu ya Vision Tv. Baraka na furaha ziwe nanyi!
6 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
WAITING IS OVER!!!
Ramani ya Dunia: Episode 5
Will be premiered live today at 21:00 EAT
6 months ago | [YT] | 13
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Thank you for 156k+ views and 1k+ subscribers in February.
Pia napenda kuwakaribisha NEW SUBSCRIBERS kwenye chaneli yetu penda ya Vision Tv. Niwaambie tu hamjafanya chaguo baya, mpo mahali sahihi.
#WatchAndLearn
6 months ago | [YT] | 7
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Ramani ya Dunia: Episode ya nne
15th February 2026, premiered at 20:00
#WatchAndLearn
7 months ago | [YT] | 10
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Kipindi: Ramani ya Dunia
Episode: 2
Tutakuwa live (premiere) leo tar. 8 February 2026 kwa dadika 30 kuanzia saa mbili usiku. Usipange kukosa! Turn on notification here ⤵️⤵️⤵️
https://youtu.be/054x4Lp1W7o
#WatchAndLearn
7 months ago (edited) | [YT] | 6
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Usisahahu Episode ya pili ya Ramani ya Dunia wiki hii ni Jumapili saa mbili kamili usiku.
#WatchAndLearn
7 months ago | [YT] | 3
View 0 replies
Vision Tv Tanzania
Karibu kwenye Ramani ya Dunia!
Wiki hii tutakuwa live kwa zaidi ya dakika 20 tukifanya Episode ya pili ya uchambuzi wa habari kuu za siasa, migogoro, vita na mivutano ya mataifa makubwa zilizotokea ndani ya wiki hii. Kumbuka Episode ya kwanza tuliifanya Jumapili ya wiki iliyopita. Usipange kukosa kila jumapili saa mbili kamili usiku.
#WatchAndLearn
#Ramaniyadunia
#VisionTvTanzania
7 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Load more