Frida Rottson

Warumi 3:22 yasema "Ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio maana hakuna tofauti." Wema wetu ukatika Kristo.   

Upendo wa Mungu ni wakujitolea. Imeandikwa, Yohana 3:16 "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele."

2 years ago | [YT] | 2

Frida Rottson

3 years ago | [YT] | 5

Frida Rottson

samehe available in all digital platforms

3 years ago | [YT] | 6