Karibu Pazia la Hadithi – mahali pazuri pa kufurahia simulizi za kuvutia, hadithi za watoto za kufundisha na kuburudisha, pamoja na hadithi za wazee zinazokufundisha mafunzo ya maisha.

Kila video ni safari ya hadithi yenye maana, burudani na elimu, ikikuletea tabasamu, mshangao, na changamoto za fikra.

Usisahau:

Subscribe kwa hadithi mpya kila wiki

Like ikiwa unafurahia hadithi

Share na marafiki, familia, na watoto

Jiunge nasi kwenye Pazia la Hadithi na ufurahie simulizi zisizo na mwisho!


RomSto.

nawapenda sana

4 months ago | [YT] | 2