Fikiria Big Media TV ni chaneli ya youtube ambayo itakusaidia kupata uhuru wako wa kifedha, Jinsi ya kudhibiti pesa na jinsi unavyoweza kuishi na kuboresha mtazamo wako kuelekea pesa. Watu wengi huzungumza mara chache kuhusu Pesa na sisi ni yeye kuzungumza juu ya Pesa na kuelimisha lakini pia unatuelimisha. Una swali tutumie barua pepe: thinkbigmediatv@gmail.com
Think Big Media
HIYI ITA GEUZA NJISI UNAVYO WEKEZA MAREKANI πΊπΈ | INVEST IN USA
Je, bado unaweka pesa zako benki bila kuona faida halisi? π€
Katika video hii na video ZOTE za channel hii, tunakupa CRASH COURSE kamili ya uwekezaji Marekani πΊπΈ
π Tunazungumzia kwa kina jinsi ya kuwekeza kwa kununua nyumba (Real Estate Investment), ikiwa ni pamoja na:
Kununua nyumba kwa kuishi au kwa kupangisha
Kununua nyumba kama uwekezaji wa muda mrefu
Namna wageni au wahamiaji wanaweza kuwekeza Marekani
Makosa ya kuepuka unapokua unaanza
π‘ Pia, katika video zetu zote, tunajadili MBINU ZOTE za kuwekeza Marekani, zikiwemo:
Real Estate (kununua nyumba na majengo)
Stock Market (shares & ETFs)
Biashara (kuanzisha na kuwekeza biashara)
Side hustles & passive income
Mikopo, mikakati ya fedha, na ulinzi wa mali
Video hizi zimeandaliwa kama CRASH COURSE kwa yeyote anayetamani:
βοΈ Kuelewa mfumo wa uwekezaji Marekani
βοΈ Kuanza kuwekeza kwa njia sahihi
βοΈ Kujenga mali na uhuru wa kifedha π
π Kama unataka kujua namna ya kuwekeza Marekani hatua kwa hatua, hii channel ni kwa ajili yako.
π Subscribe usikose video yoyote
π Like & Share kusaidia wengine
π¬ Acha comment: Ungependa kuanza kuwekeza kwa njia gani?
#InvestInUSA #RealEstateUSA #Uwekezaji #KununuaNyumbaUSA #FinancialFreedom #CrashCours
THINK BIG MEDIA, Financial Literacy hapa Marekani, Immigration, Njisi yakupata pesa hapa Marekani.
4 days ago | [YT] | 1
View 0 replies