Chama Watanzania Ufaransa

Channel hii ni kwa ajili ya Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa, pamoja na wadau wake. Kwa matukio yetu ya Jumuiya, na habari tofauti tofauti za harakati zetu, usiache kufuatilia. Jiunge nasi sasa.

Tunapatikana : ccwu2014@gmail.com