Karibu katika ukurasa wetu wa YouTube. AMANI S.D.A CHOIR tunawaletea nyimbo bora za injili zinazojenga imani na kuleta utulivu wa nafsi. Huu ni ukurasa rasmi unaosimamiwa na kwaya kwa ajili ya kuwafikia watu wote duniani.
Fuata Huduma Yetu:
Mawasiliano/Mialiko: +255759417590
+255754237759
Email: amanisdachoirtz@gmail.com
Mahali: Makongolosi CHUNYA MBEYA
Usisahau ku-SUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupata habari za albamu zetu mpya na matamasha ya uimbaji. MUNGU AKUBARIKI