TANGANYIKA TV NI TV AMBAYO INARIPOTI HABARI, UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO KUPITIA LUGHA YA KISWAHILI .TUPO KIVU YA KUSINI ,OFISII ZETU ZIPO BARAKA FIZI NA UVIRA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK NA INSTAGRAM
@TANGANYIKATV
KWA MASWALI YA BIASHARA NA MATANGAZO EMAIL : TANGANYIKATV@GMAIL.COM
KWA PAMOJA TUPASHE
Tanganyika TV
1 year ago | [YT] | 40
View 0 replies
Tanganyika TV
Maafisa kadhaa wa Jeshi walikamatwa kufuatia uvumi kuhusu Mapinduzi yaliyopangwa dhidi ya Kiongozi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore ambaye alichukua madaraka mwaka wa 2022.
Hii imezua hali ya wasi wasi miongoni mwa Wanajeshi, duru zinasema huku wafuasi kadhaa wa jeshi hilo wakiwashutumu Wanajeshi walio uhamishoni.
Kamanda wa zamani wa haki za kijeshi,Frederic Ouédraogo ni miongoni mwa maafisa waliokamatwa. Traore alibadilisha haraka maafisa waliokamatwa bila kutaja idadi yao.
Maafisa kadhaa wakuu wa Kijeshi tayari wamebadilishwa na Kapteni Ibrahim Traore ambaye ni Rais wa mpito wa nchi hiyo ingawa idadi kamili ya waliokamatwa bado haijafahamika.
#tanganyikatv #tanganyikafm
1 year ago | [YT] | 73
View 1 reply
Tanganyika TV
TAREHE 30 JUNI HII 💥💥💥
2 years ago | [YT] | 14
View 0 replies
Tanganyika TV
Support vipaji🔥Share Na wengine
https://youtu.be/pDsq6fvyofo
3 years ago | [YT] | 3
View 0 replies
Tanganyika TV
Click kuangalia Video Mpya Ya Rusia Bita
https://youtu.be/pDsq6fvyofo
3 years ago | [YT] | 4
View 0 replies
Tanganyika TV
TAZAMA WIMBO HUU UTAKUBARIKI 🔥👉
https://youtu.be/QkkKGDIwGWA
4 years ago | [YT] | 6
View 0 replies
Tanganyika TV
Wimbo Mpya wa Rusia Bita
LINK 👉https://youtu.be/QkkKGDIwGWA
4 years ago | [YT] | 3
View 0 replies
Tanganyika TV
Msanii nyota wa gospel mchini Marekani Joshua Promise ameachia rasmi Video ya wimbo wake wa Bonne Année !
Kutazama video hii Bonyeza Link hii -https://youtu.be/FJJmGH3s3rI
4 years ago | [YT] | 47
View 2 replies
Tanganyika TV
Wimbo mpya kutoka kwa agape choir 👇🏾👇🏾👇🏾 bonyeza hapo chini ili uone official music video
4 years ago | [YT] | 9
View 0 replies
Tanganyika TV
Uvira
5 years ago | [YT] | 4
View 0 replies
Load more