Mezani ni jukwaa la mtandaoni linalolenga kuongeza ufahamu juu ya mambo ya msingi kuhusu sayansi, elimu, afya, maisha, malezi, historia, makala, hadithi fupi, nadharia na maandiko binafsi.
Lengo ni kuwa jukwaa kiini au chachu ya kupendezesha maarifa, kujifunza na kujenga ukinzani wa mawazo wenye afya. Karibu ujumuike nasi, karibu tusafiri pamoja, maana maarifa haya hayana mwisho..Basi sabuskraibu chaneli yetu na bonyeza alama ya kengele. Mtaarifu rafiki yako, aje aelimike..
Mezani
Je unafahamu ya kuwa kurudia rudia kusoma kitu inaongeza uwezo wako wa kukumbuka kitu hicho?
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Mezani
Je bei inaakisi ubora wa huduma au bidhaa? Kama kitu ni cha gharama, je ndo inamaanisha ni bidhaa nzuri?
Unaweza tizama mtizamo wetu hapa: https://youtu.be/0hQFQx0PTr0
2 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
Mezani
Nani aliongoza mapinduzi ya Zanzibar?
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Mezani
Historia inamkumbuka Abeid Karume kama shujaa wa mapinduzi. Baba wa Zanzibar mpya. Muanzilishi wa Taifa na Rais wa kwanza baada ya mapinduzi. Vipi kuhusu John Okello? Je historia imemsahau, au hakuwa mtu sahihi ambaye Zanzibar ilihitaji baada ya mwarabu kuondolewa?
Kwa maoni yetu tizama video hii hapa: https://youtu.be/xtLNNXEfbqI
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Mezani
Kwenye kupunguza uzito, kanuni ya kwanza na muhimu kabisa, ni kuhakikisha kwa awali kabisa kuwa hauzidi kuongezeka kilo.
Namna ya kujua na kufatilia kuwa kilo zako haziongezeki ni kwa kununua mzani wako binafsi na kuwa nao nyumbani ambapo unaweza pima kilo zako mara kwa mara.
Kama unataka kuanza safari yako kupungua uzito, jua ni jambo zuri na tunakupongeza. Fahamu njia rahisi na isiyo na madhara unayoweza kuanza nayo ni hii, "Kufunga kwa vipindi" ambayo kwa jina la kizungu inaitwa "Intermittent fasting". Je unaifahamu njia hii? Ushawahi kuisikia na kuijaribu? Yapi yalikuwa matokeo yake kwako?
Kuifahamu zaidi njia hii unaweza angalia video hii hapa: https://youtu.be/Bgu6OMvsjyI
2 years ago (edited) | [YT] | 1
View 0 replies