HII NI CHANELI INAYYOHUSIKA NA MASUALA YA FILAMU ZA KISWAHILI ZENYE MAADILI NA MAFUNZO MAKUBWA KWENYE JAMII.

Hajra Kidoti

🎬 AUDITION CALL 🎬
HAJRA KIDOTI FILM tunatafuta waigizaji kwa ajili ya mradi wa filamu.
Sifa:
βœ”οΈ Awe anaishi Dar es salaam
βœ”οΈ Awe na kipaji cha kuigiza.
βœ”οΈ Awe tayari kujifunza kufanya kazi na timu.
βœ”οΈ Uzoefu ni faida lakini sio lazima.
πŸ“Œ Nafasi: Waigizaji wa kiume na kike
πŸ“Œ Umri: Wowote
πŸ“… Tarehe: 11/01/2026
πŸ•— Muda: Kuanzia saa moja kamili asubuhi.
πŸ“ Eneo: LUMO sheli ya (UNO) Ukifika piga simuβ˜ŽοΈπŸ“ž
πŸ’° Malipo ya fomu: Tsh 10,000
πŸ“ž Mawasiliano: 0671389444 / 0616491444
Malipo ya fomu ni baada ya kufika.Unalipa,unapewa fomu ujaze kisha zoezi litaendelea.
Karibu kushiriki na kuonyesha kipaji chako 🌟

4 weeks ago | [YT] | 287

4 weeks ago | [YT] | 10

Hajra Kidoti

SHEMEJI { ep 04 } #Hajra_Kidoty

3 months ago | [YT] | 14

Hajra Kidoti

HUYU NI NANI? Kutoka kwa { DUBU TZ }

SHEMEJI { ep 03 } Kesho Mapema Inshallah πŸ’œ

3 months ago | [YT] | 26

Hajra Kidoti

HUYU NI NANI?

3 months ago | [YT] | 16

Hajra Kidoti

ACCOUNT YETU YA HAJRA KIDOTI ILIPATA MATATIZO HIVYO TUKASHINDWA KUPOSTI KWA MDA MREFU KWASASA NDIO IMERUDI ILA KWA BAHATI MBAYA HAJRA NA ZUHURA HAWAPO SAWA KWA SASA HIVYO TUNAOMBA MPOKEE HII KAZI MPYA HUKU TUKIWASUBIRI WAKAE SAWA TUENDELEE NA FORTUNE πŸ™β™₯️

4 months ago | [YT] | 15

Hajra Kidoti

INNALILLAH WAINNAILAYHI RAJIUNπŸ˜₯🀲.

5 months ago | [YT] | 288

Hajra Kidoti

KUTOKA KWA MWAJUMA KOMWE
{MKE WANGU KIKOJOZI} | ep 01 |

1 year ago | [YT] | 18

Hajra Kidoti

Kutoka Kwa Kadilida https://youtu.be/bhE4qvXaHbk

1 year ago | [YT] | 28

Hajra Kidoti

FORTUNE | ep 04 | FULL EPISODES

1 year ago | [YT] | 21