Tupo karibu na wewe mtu wetu wa faida kwa habari za
πŸ”΄michezo,
πŸ”΄ burudani
πŸ”΄, na siasa,
karibu uwe nasi kwa ku subscribe channel yetu b24onlinetv
kwa habari zaidi na kuaminika🌍🌎🌏
Call/0687588150 &WhatsApp


B24MEDIA TV

2 months ago | [YT] | 5

B24MEDIA TV

2 months ago | [YT] | 4

B24MEDIA TV

Madiwani wa halmashauri ya jiji la dar es salaam akiwemo mhe: Selemani kaniki Diwani wa kata ya ZINGIZIWA akiwa Dodoma kwenye semina maalumu ya kuwa jengea uwezo madhubuti wa kuwahudumia wananchi wao,pamoja kuwapatia muongozo zaidi ili waweze kuzingatia taratibu na miongozo ya madiwani na watumishi wa halmashauri,
Mualiko huo wa madiwani wa halmashauri ya jiji la dar es salaam akiwemo @selemanikaniki walipata mualiko huo kutoka kwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania mhe:@zungumussa.kushiriki katika vikao vya bunge

3 months ago | [YT] | 7

B24MEDIA TV

Meena Ally baada ya mashabiki wa Yanga kumbeza jana kutokana na kitendo alichofanya alipokua na Rio Ferdinand ameamua kutoa ya moyoni πŸ—£οΈ

" Nikiri kua mimi ni mtangazaji ninayejua majukumu yangu, ukiwa shabiki wa mpira lazima ukiri kua lile goli la chama ni goli kali sana na likiunganishwa kwenye competition kuwania kua goli bora la Dunia na kuchukua Puskus itakua njema zaidi. Hivyo sioni kola langu hapo kwa mashabiki wa Yanga

--------------------------------

Unaambiwa mashabiki wa Yanga wamekuja juu sana na kuumia mnoo baada ya Meena kumuonesha goli alilifunga jana may 3, 2026 uwanja wa isamuyo

---------

Nini maoni yako pia

3 months ago | [YT] | 4

B24MEDIA TV

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), Dkt. Jean Kaseya pamoja na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei, 2026.
#b24media tv

3 months ago | [YT] | 3

B24MEDIA TV

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mfungwa Bi. Grace Chiduo na Bi. Irene Mseluka ambao wamepata ujuzi wa kushona bidhaa mbalimbali akiwa gerezani katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCT) Ukonga Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2026.

3 months ago | [YT] | 5

B24MEDIA TV

1 year ago | [YT] | 1

B24MEDIA TV

πŸ›¬ Tumetua salama jijini Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦

1 year ago | [YT] | 2

B24MEDIA TV

KAA TAYARI NI MWENDO WA KUPIGA SPANA TU NI TAREHE 18,JANU,2025

1 year ago | [YT] | 6

B24MEDIA TV

WATAZAMAJI WETU πŸ˜‹πŸ™πŸ˜˜
ENDELEEA KIFUATILIA B24ONLINETV
#USISAHAU KU SUBSCRIB

1 year ago | [YT] | 2