Karibu katika chaneli yetu ya TopGrowers Agricultural Services
Hapa tunakuwezesha mkulima kupata elimu kupitia vidokezo muhimu, mbinu bora, na maarifa ya kisasa ya kilimo ili kukusaidia kulima mazao bora, na kujenga biashara ya kilimo yenye mafanikio.
Kuungwa kwenye group letu la WhatsApp la USHAURI WA KILIMO MAZAO MBALIMBALI, nitafute kupitia namba 0656994167 yaani+255 656 994 167
Kilimo ni Biashara 🥂
TopGrowers Agricultural Services
MBOLEA ZA KUPANDIA, KUKUZIA NA KUBEBESHEA MAHINDI
1 month ago | [YT] | 1
View 0 replies
TopGrowers Agricultural Services
Mkulima? Hivi unafahamu kuwa kunyauka kwa mmea shambani si lazima chanzo kiwe ni ugonjwa? Ndio, kuna wakati mwingine mche wako unaweza kunyauka kutokana na uwekaji mbaya wa mbolea ambayo inaweza kuchoma shina au mizizi ya mmea na hivo mmea huo kunyauka. Kwahiyo inahitaji umakini kwenye kulitambua tatizo ili kulitibu. Vinginevyo unaweza unaweza kulaumu wataalamu wako Bure tuu!
Karibu kwenye chaneli yetu hii ya TopGrowers ili ujifunze mengi kuhusu kilimo.
youtube.com/@TopGrowers1
4 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
TopGrowers Agricultural Services
youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Je, unaifahamu njia ya kusia mbegu kwa njia ya Seed broadcasting ?
👇👇👇👇youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Coffee seed broadcasting 👉 @TopGrowers1‬​​​
6 months ago (edited) | [YT] | 3
View 0 replies
TopGrowers Agricultural Services
youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Je, unaifahamu njia ya kusia mbegu kwa njia ya seed drilling?
👇👇👇👇youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Coffee seed drilling 👉 ‪@Tase_Ltd‬​​​
6 months ago (edited) | [YT] | 2
View 0 replies